Makanisa zaidi Zanzibari yachomwa moto. Limo RC

Sioni umuhimu wa kuvaa jezi yangu ya zanzibar TENA!
Nimeitangaza vya kutosha, sasa nahamia "airtel", nimechukia.
 
Makanisa zaidi na mali za wakristo zazidi kuteketezwa leo yamechomwa matatu. Source chanel10 habari Huku ni kushindwa kwa selikali ya muungano kwani swala la ulinzi na usalama ni la muungano. Sasa makanisa Zanzibar yalindwe kama ikulu huu ni mwanzo wa harakati za waislamu tanzania unaokusudia kutuletea selikali za kidini na wanaamini viongozi wakuu Raisi muungano, Makamu raisi visiwani makamu wote mawaziri wa ulinzi na mambo ya ndani tutegemee haya swala la mahakama ya kadhi
Viongozi wote wa makanisa nchini tukae kimya huu ni uchokozi unaofanywa na waislam kwa wakristo . Tuiachie serikali ifanye kazi yake ila wanatakiwa kujua kuwa Mungu aliye hai siku zote huwa anajitetea mwenyewe akuna mwanadamu anayeweza kusimama kumtetea ila ikifika wakati atajizihirisha kuwa yeye ni MUNGU MKUU HAKUNA KAMA YEYE. Na hakika zanzibar wote watajua na tanzania kwa ujumla wake watajua kuwa yuko Mungu wa haki. Unakwenda madhabauni unachoma moto hii ni laana mbaya sana sija wai kuiona katika maisha yangu watanzania tumelogwa na nani Viongozi mko wapi mbona kimya mnapenda sio subirini nadhani ya wana wa Israel hamkuyaona au mnayasoma mnadhani ni hadithi tu mtaisoma unachoma madhabau! madhabau ya Mungu aliye hai jamani kweli!!!!!!!!! da kweli ipo kazi
 
Mkuu sema utavosema pamba utavopamba lakini khabari ndo ileile HATUUTAKI MUUNGANO.

Uhusiano wa kanisa na muungano upo mkubwa sana, kama si huu muungano Zanzibar tusingalikuwa na utitiri wa makanisa na mabaa na madanguro mpaka vichochoroni, lakini Mkapa (LTLLH) kafanya juhudi kubwa kuhakikisha Zenji hasa mwaka 1995-2004 wameletwa Watanganyika wakristo ili kujaza makanisa hayo na kujenga mengine zaidi.

Na mmeona nyinyi wenyewe khabari kuu zenu ni makanisa yamechomwa moto tuu, hamjaona la kuandika zaidi ya hilo kwa mfano hao askari wanavopiga mabomu mpaka watoto wa shule hii sio khabari au haina uzito, wacheni Chuki zenu Watanganyika na kujifanya hamjui tulitakalo Wazanzibari/

Pia siku hizi kuna mpango maalum wa kuwaleta Watanganyika wakristo siku za weekend ili kujaza makanisa ya Z'bar ili waonekane wengi, Source ni mchungaji Henry wa kanisa la Mkunazini

Hizo propaganda zenu za makanisa na ukristo wenu sisi hauna faida kwetu hapa Zanzibar, tutaendelea na harakati kama kawa za uhuru wa Zenji mpaka kieleweke.

Mkituita alqaida, au mashetani, au mazuzu, au wajinga au vyovyote vile sisi hatujali almuhimu Zanzibar kwanza kelele zenu baadae.

Na atakaeshi Z'bar aishi kwa heshima zote za Z'bar, lakini yote hayo ya kanisa na ukristo yatakuja baada ya uhuru wetu na tutaamua makanisa mangapi yawepo Zenji sio kila kona mutuwekee fujo zenu za miziki.

Wazanzibar walioko Tanganyika na watanganyika walioko Zanzibar wengi ni wapi? wakiambiwa kila mtu arudi kwao ni upande upi utaadhirika? acha kuongea pumba. gaidi wewe. KAJILIPUE BASI KAMA UNA HASIRA SANA
 
Wazanzibar walioko Tanganyika na watanganyika walioko Zanzibar wengi ni wapi? wakiambiwa kila mtu arudi kwao ni upande upi utaadhirika? acha kuongea pumba. gaidi wewe. KAJILIPUE BASI KAMA UNA HASIRA SANA
Hivi tukiwafungia mipaka hakuna kukanyaga Tanganyika si mtakwisha habari yenu? au hamuoni hilo? maana mnaweza kugeuka kichaka cha ugaidi.
 
Back
Top Bottom