Makanisa zaidi Zanzibari yachomwa moto. Limo RC

Mkuu sema utavosema pamba utavopamba lakini khabari ndo ileile HATUUTAKI MUUNGANO.

Uhusiano wa kanisa na muungano upo mkubwa sana, kama si huu muungano Zanzibar tusingalikuwa na utitiri wa makanisa na mabaa na madanguro mpaka vichochoroni, lakini Mkapa (LTLLH) kafanya juhudi kubwa kuhakikisha Zenji hasa mwaka 1995-2004 wameletwa Watanganyika wakristo ili kujaza makanisa hayo na kujenga mengine zaidi.

Na mmeona nyinyi wenyewe khabari kuu zenu ni makanisa yamechomwa moto tuu, hamjaona la kuandika zaidi ya hilo kwa mfano hao askari wanavopiga mabomu mpaka watoto wa shule hii sio khabari au haina uzito, wacheni Chuki zenu Watanganyika na kujifanya hamjui tulitakalo Wazanzibari/

Pia siku hizi kuna mpango maalum wa kuwaleta Watanganyika wakristo siku za weekend ili kujaza makanisa ya Z'bar ili waonekane wengi, Source ni mchungaji Henry wa kanisa la Mkunazini

Hizo propaganda zenu za makanisa na ukristo wenu sisi hauna faida kwetu hapa Zanzibar, tutaendelea na harakati kama kawa za uhuru wa Zenji mpaka kieleweke.

Mkituita alqaida, au mashetani, au mazuzu, au wajinga au vyovyote vile sisi hatujali almuhimu Zanzibar kwanza kelele zenu baadae.

Na atakaeshi Z'bar aishi kwa heshima zote za Z'bar, lakini yote hayo ya kanisa na ukristo yatakuja baada ya uhuru wetu na tutaamua makanisa mangapi yawepo Zenji sio kila kona mutuwekee fujo zenu za miziki.

Akhsante kwa ufafanuzi kwa kuwa maelezo yako yanapigia mstari kuwa UISLAM NI DINI YA FUJO ISIYOJALI UHURU WA KUABUDU WA DINI NYINGINE, uislam hauna hoja zenye mantiki,kuaminika na kukubalika ili kuvutia wasiouamini na ndo maana inatumia nguvu,vitisho na fujo ili kupata au kubakiza waumini ndani ya imani.
Imani inatakiwa ipatikane thru convincing/persuasion and not by using force, wakristo hawajatumia nguvu kushawishi watu bali hoja na matendo yenye ushawishi, uislam kama ni dini ya kweli,thabiti na yenye nguvu ya Mungu kama sio mungu ina hofu nini kuhusu waumini wake ambao hawashikiwi upanga shingoni ili kufata imani nyingine?
Dini ya uislam inaleta shaka kwa kuwa badala ya kulindwa na Mungu inalindwa na wanadamu...it's very sad!
 
ndiyo mwamsho wenyewe huo...

JUMLA ya watu 30 wakiwemo wanaodaiwa kuwa viongozi wawili wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar, leo walifikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali na kusomewa mashitaka ya uzembe, uzururaji na uvunjifu wa amani

Shitaka jengine walilosomewa mahakamani chini ya Hakimu Mohammed Ali Mohammed Shein hapo ni pamoja na kufanya mkusanyiko usivyo halali ambapo Mbarouk Said Khalfan (45) Mkaazi wa Taveta Meli nne na Mussa Juma Issa (57) Mkaazi wa Makadara wote wakaazi wa Mjini Zanzibar.

Valentine Andrew Katema, wakikabiliwa na mashitaka ya kufanya kitendo kinachoweza kuleta uvunjifu wa amani, ambao walishitakiwa chini ya kifungu cha 74 (1) (b) cha sheria namba 6/2004 sheria za Zanzibar TA

DUH. KUMBE TAFAUTI TULIVYORIPOTIWA NA VYOMBO VINGI VYA HABARI.
Vurugu hizi hata waumini wa kikiristo walihusika?
 
Makanisa zaidi na mali za wakristo zazidi kuteketezwa leo yamechomwa matatu.
Source chanel10 habari

Huku ni kushindwa kwa selikali ya muungano kwani swala la ulinzi na usalama ni la muungano.

Sasa makanisa Zanzibar yalindwe kama ikulu

huu ni mwanzo wa harakati za waislamu tanzania unaokusudia kutuletea selikali za kidini na wanaamini viongozi wakuu Raisi muungano, Makamu raisi visiwani makamu wote mawaziri wa ulinzi na mambo ya ndani

tutegemee haya swala la mahakama ya kadhi

hahaha,,,,wala hutupi tabu na posts zako...we know..una chuki binafsi ya kuzaliwa dhidi ya waislam...! yaan wee jamaa ni ***** sana...utakufa kwa sonono moyon dhid yetu
 
ndiyo mwamsho wenyewe huo...

Valentine Andrew Katema, wakikabiliwa na mashitaka ya kufanya kitendo kinachoweza kuleta uvunjifu wa amani, ambao walishitakiwa chini ya kifungu cha 74 (1) (b) cha sheria namba 6/2004 sheria za Zanzibar TA
 
hapo ndio pa kujiuliza maana uamsho wapo siku zote na hapajatokea kitu. hivi vijikanisa vimekuja kuleta fitina kwani havina wafuasi na kukitokezea jambo dogo tu utawasikia kanisa limechomwa moto. wanayachoma wenyewe ili waonekane wakristo wanaonewa Zanzibar.
Makanisa yapo Zanzibar zaidi ya miaka 200 na hatujasikia kuguswa kanisa lolote lakini baada ya kuingia hivi vikanisa uchwara ndio tunasikia makanisa kuchomwa

je na hayo maandamano ya kisingizio cha kupinga muungano yalikuwepo siku zote?
Hao wakristo wachome makanisa yao wenyewe ili waonekane wanaonewa ili iwe nini? ili wapate faida gani?
Huna hoja hapa ila ni kupindisha ukweli ambao tayari ushadhihiri.
Unaposema uamsho ulikuwepo siku zote na mbona hawakushambulia makanisa huo ni upuuzi, kwani nchi inapokuwa na jeshi itakuwa iko vitani kila siku? au mpaka pale itakapobidi? itaingia vitani aidha nchi ikivamiwa au itakapoamua kuvamia kwa makusudi kama walivofanya hawa mahayawani uamsho...MAANINA ZAO!
 
Acha udini rais sio JOHN mlivyozea ya Mwembechai na ya Pemba mauji ya waislam. rais hapokei WITO WA MAASKOFU.

Thubutu!!labda kama maaskofu hawajataka...we mwenyewe unajua kabisa Maaskofu wanawapuuza tu na utoto wenu...neno moja tu na Znz inageuka jivu.
 
Thubutu!!labda kama maaskofu hawajataka...we mwenyewe unajua kabisa Maaskofu wanawapuuza tu na utoto wenu...neno moja tu na Znz inageuka jivu.

kwa utawala huu wa JK? au wa Mkapa na mwalimu? kama huu jaribuni uone?
 
How long shall they kill our prophetsWhile we stand aside and look? OohSome say it's just a part of itWe've got to fullfil the book
 
Mkuu unaposema makanisa yanachomwa na infiltrators wanaodaiwa kuwa ni CCM,, Je hii ni baada ya kufanya utafiti ukagundua hilo?
Au unaongozwa na hisia binafsi kuhalalisha hoja yako,, kumbuka no research no right to,,,,,!
Na unaposema ishu ya msingi ya Z'bar huru unamaanisha kuwa Z'bar haiko huru hivyo iko kwenye harakati za ukombozi kutafuta uhuru.........

Januari 1964 , Nyere aliivamia zanzibar na kuwakamata viongozi wake na kuwaweka katika jela za Tanganyika kabla ya Muungano wa April 1964. Viongozi hao waliendelea kusota jela za Tanganyika mpaka miaka ya 70s alipoamua kuwatoa , Muda wote huo dunia ilikuwa kimya kwa vile mvamizi alikuwa ni mkristu.

Jee hapo kuna Muungano ??? Hapo kuna uhuru wa Wazanzibari????
 
haya makanisa ya kifedhuli yako znz???

Gay Friendly Churches in Africa

Kenya 1 church
Trinity Church Of Christ Nairobi City United Church of Christ
Nigeria 1 church
MCC Okigwe Okigwe MCC
South Africa 16 churches
MCC Good Hope Cape Town MCC
The Full Family Church Bloemfontein Non-denominational
Agapé Revelation Church Boksburg Non-denominational
Beth-Haran Boksburg Non-denominational
GCC Doorenfontein Non-denominational
Word of Life MCC Durban MCC
Deo Gloria Family Church KZN Durban Non-denominational
Real Life Church Jeffreys Bay Non-denominational
Hope and Unity MCC Johannesburg MCC
Reformerende Kerk Jhb Johannesburg Non-denominational
Die Kapel Melville Non-denominational
Beth-Haran Ministries Potchefstroom Non-denominational
Eastside Community Church Pretoria Interdenominational
Glorious Light MCC Pretoria MCC
Agallia Ministries Pretoria Non-denominational, Pentecostal
Reforming Church Pretoria Non-denominational
Tanzania 1 church
Pentecostal Evangelistic Church Mbeya Non-denominational
Uganda 1 church
Integrity Uganda unknown (see web site) Anglican
Kason Church Kabale Non-denominational

Mungu wangu,

kumbe tanganyika kuna kanisa limesharidhia.

Tusubiri gharika, bora uwe chini ya ardhi kuliko hali ilivyo sasa.
 
CCM wanajua upepo wa kisiasa unawaendea vibaya. Sasa wana ajenda ya siri ya kutumia kikundi ya uamsho Zanzibar ili kupandikiaza mtafaruku wa kidini ili wapate support ya waislam!! Wanawategeshea viongozi wa kanisa watoe matamko ili hayo matamko yawe sababu ya kuchochea vurugu!!! Watanzania kuweni macho na njama za CCM!! Mungu ibariki Tanzania!!
 
Bullshit all of it. Makanisa yanachomwa na infiltrators wanaodaiwa kuwa ni wa CCM ili kudivert attention ya watu ili jambo hili liwe la kidini na ishu ya msingi ya zanzibar Huru isijadiliwe

I hear it now!!
Semeni basi kwa uwazi na ukweli!!
 
Januari 1964 , Nyere aliivamia zanzibar na kuwakamata viongozi wake na kuwaweka katika jela za Tanganyika kabla ya Muungano wa April 1964. Viongozi hao waliendelea kusota jela za Tanganyika mpaka miaka ya 70s alipoamua kuwatoa , Muda wote huo dunia ilikuwa kimya kwa vile mvamizi alikuwa ni mkristu.

Jee hapo kuna Muungano ??? Hapo kuna uhuru wa Wazanzibari????

Kwa hiyo dunia ni ya wakristo??!!

Pambafu kabisa!!
Dini za wapuuzi hawa ndo mnashoboka nazo mpaka mbapoteza utu!????
 
Mkuu sema utavosema pamba utavopamba lakini khabari ndo ileile HATUUTAKI MUUNGANO.

Uhusiano wa kanisa na muungano upo mkubwa sana, kama si huu muungano Zanzibar tusingalikuwa na utitiri wa makanisa na mabaa na madanguro mpaka vichochoroni, lakini Mkapa (LTLLH) kafanya juhudi kubwa kuhakikisha Zenji hasa mwaka 1995-2004 wameletwa Watanganyika wakristo ili kujaza makanisa hayo na kujenga mengine zaidi.

Na mmeona nyinyi wenyewe khabari kuu zenu ni makanisa yamechomwa moto tuu, hamjaona la kuandika zaidi ya hilo kwa mfano hao askari wanavopiga mabomu mpaka watoto wa shule hii sio khabari au haina uzito, wacheni Chuki zenu Watanganyika na kujifanya hamjui tulitakalo Wazanzibari/

Pia siku hizi kuna mpango maalum wa kuwaleta Watanganyika wakristo siku za weekend ili kujaza makanisa ya Z'bar ili waonekane wengi, Source ni mchungaji Henry wa kanisa la Mkunazini

Hizo propaganda zenu za makanisa na ukristo wenu sisi hauna faida kwetu hapa Zanzibar, tutaendelea na harakati kama kawa za uhuru wa Zenji mpaka kieleweke.

Mkituita alqaida, au mashetani, au mazuzu, au wajinga au vyovyote vile sisi hatujali almuhimu Zanzibar kwanza kelele zenu baadae.

Na atakaeshi Z'bar aishi kwa heshima zote za Z'bar, lakini yote hayo ya kanisa na ukristo yatakuja baada ya uhuru wetu na tutaamua makanisa mangapi yawepo Zenji sio kila kona mutuwekee fujo zenu za miziki.
Muislamu yeyote na akili zake timamu hawezi kutamka kauli kama hizi zako. Naamini wapo Waislamu wengi hapa wanaooana haya kusikia maneno haya yamesemwa na mtu anayejiita Muislamu. Ikiwa kweli umfuasi wa dini, kiongozi wenu wa dini hakuwahi kuwanyanyasa watu wa dini nyengine, kinyume chake alifanya suluhu nawe na wakawa wanaishi pamoja watu wa dini zote bila bughudha.

Kubwa ninalowaambieni, "MMELIKOROGA, JITAYARISHENI KULINYWA". Dhambi zenu zitawaandama daima hata hapo baada ya kupata hicho mnachodai.
 
Mkuu sema utavosema pamba utavopamba lakini khabari ndo ileile HATUUTAKI MUUNGANO.

Uhusiano wa kanisa na muungano upo mkubwa sana, kama si huu muungano Zanzibar tusingalikuwa na utitiri wa makanisa na mabaa na madanguro mpaka vichochoroni, lakini Mkapa (LTLLH) kafanya juhudi kubwa kuhakikisha Zenji hasa mwaka 1995-2004 wameletwa Watanganyika wakristo ili kujaza makanisa hayo na kujenga mengine zaidi.

Na mmeona nyinyi wenyewe khabari kuu zenu ni makanisa yamechomwa moto tuu, hamjaona la kuandika zaidi ya hilo kwa mfano hao askari wanavopiga mabomu mpaka watoto wa shule hii sio khabari au haina uzito, wacheni Chuki zenu Watanganyika na kujifanya hamjui tulitakalo Wazanzibari/

Pia siku hizi kuna mpango maalum wa kuwaleta Watanganyika wakristo siku za weekend ili kujaza makanisa ya Z'bar ili waonekane wengi, Source ni mchungaji Henry wa kanisa la Mkunazini

Hizo propaganda zenu za makanisa na ukristo wenu sisi hauna faida kwetu hapa Zanzibar, tutaendelea na harakati kama kawa za uhuru wa Zenji mpaka kieleweke.

Mkituita alqaida, au mashetani, au mazuzu, au wajinga au vyovyote vile sisi hatujali almuhimu Zanzibar kwanza kelele zenu baadae.

Na atakaeshi Z'bar aishi kwa heshima zote za Z'bar, lakini yote hayo ya kanisa na ukristo yatakuja baada ya uhuru wetu na tutaamua makanisa mangapi yawepo Zenji sio kila kona mutuwekee fujo zenu za miziki.

Mbona ktk fukwe zone za ZNZ zimejaa utitili wa mahoteli ya wazungu ambao wanauza bia mbona hazishambuliwi??
 
Back
Top Bottom