Hahahaaa na bado wakajenga cha temporari???nilienda kanisa Fulani la kiroho ukapitishwa mchango wa kujenga choo temporary (sio permanent) tsh. milioni 10 zikapatikana fasta na kuzidi
Kwani anatoza sadaka au anategemezwa?ww kwako una yatima.....?
Usiwajumlishe wote wapo wachungaji wa makanisa mengi ya kiroho wanaishi na watu wasio na makazi kama watoto wao.Utakuta muumini kafunga tai hatakama viatu vime toboka na shati limekwisha.
Yukoradhi alale na njaa lakini pesa yake kidogo ya akiba ampe mchungaji akale bager na maziwa fresh. Wachungaji hawana huruma kabisa.
Utakuta muumini kafunga tai hatakama viatu vime toboka na shati limekwisha.
Yukoradhi alale na njaa lakini pesa yake kidogo ya akiba ampe mchungaji akale bager na maziwa fresh. Wachungaji hawana huruma kabisa.
Nimekuwa nikisali kwenye makanisa haya ya Kiroho, lakini pamoja na kupata sadaka nyingi sana toka kwa Waumini ni vigumu kusikia mipango yao kuhusu kusaidia wenye shida katika jamii bali utasikia mipango ya kumnunulia Mchungaji Helikopta, Vogue n.k. Jamani wenye shida wasaidiwe na nani? Wakuu wa Wilaya? Ama?
Nawe umerogwaaa....wahitaji maombi fastaaaaMakanisa ya kiroho ni ya kichawi,mtu anayeingia huko tayari kaisha rogwa.Na serikali ikitaka kufanikiwa ni kuyafunga na wachungaji wake wauwawe.
Chopa na ulinzi wa kumzidi BashiteJengeni hata hospitali basi kuliko kununua michopa
Na wafaidi wajinga.Shida ya makanisa mengi viongozi wake wametawaliwa na tamaa ya mali mno,saa ngapi atafikiria kusaidia wengine.Ndio maana viongozi wengi wa haya makanisa wanaishi maisha kitajiri sana wakati wahumini Wapo hoe hae
Umetaja FPCT nimekumbuka hili kanisaYapo baadhi yanasaidia jamii kwa kuwa na mfuko maalum wa yatima na wajane kv fpct,eagt na tag pia baadhi Yao wanasomesha watoto kwa gharama nafuu kwenye shule zao kama Tag,mengine sifahamu kama yanafanya kwa ajili ya jamii
Swala ni kwamba mbona sadaka wanazitumia wao kununulia magari na ndege?, kujitajirisha wao tumtu anayehoji matumizi ya sadaka amekufa kiroho.Ujenzi wa huduma mbalimbali ni jukumu la serikali.Hata hao rc sijui kkkt na mengine hujenga kwa ajili ya kufanya biashara.kama unabisha nenda kasome bure ama katibiwe bure.Mipango ya kusaidia yatima hufanyika kila leo kwani hujaona vituo vingi vya kulelea watoto yatima?acheni tabia yakukashifu walokole kila siku nyie.