Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,352
- 9,810
Matapeli!
Hahaha na hapo unajiona uko sawa kabisa....?Na makotokoro yao wana wafuasi wengi.kuliko wa Mwakasege!
Tena wafuasi wasomi na matajiri sio wajinga wajinga.
Mimi muumini wa Mwamposya nakanyaga sana mafuta na kunywa maji ya upako
Nilikuwa na mitatizo kibao na nilisaidika
Wewe hakijakubana cha kukubana mwenyewe utamkimbia mwinjilisti na kutafuta mtu anayeweza kuondoa hilo tatizo. Ukiwa na magumu huwezi kwenda kwa mwinjilisti hana uwezo huo. Yeye ni kupiga porojo tu
Watu kibao wanatokewa na Yesu wanaijua picha yake ndio walichora hiyo picha na ikahakikiwa na waliotokewa na Yesu
Na makotokoro yao wana wafuasi wengi.kuliko wa Mwakasege!
Tena wafuasi wasomi na matajiri sio wajinga wajinga.
Mimi muumini wa Mwamposya nakanyaga sana mafuta na kunywa maji ya upako
Nilikuwa na mitatizo kibao na nilisaidika
Wewe hakijakubana cha kukubana mwenyewe utamkimbia mwinjilisti na kutafuta mtu anayeweza kuondoa hilo tatizo. Ukiwa na magumu huwezi kwenda kwa mwinjilisti hana uwezo huo. Yeye ni kupiga porojo tu
Ulianza vizuri, lakini pia kumuita Mwinjilisti kuwa ni 'mpiga porojo', ni sawa na kusema kile anachohubiri, yaani injili, ni porojo!... Ukiwa na magumu huwezi kwenda kwa mwinjilisti hana uwezo huo. Yeye ni kupiga porojo tu
Nasema kuhusiana na uponyaji wainjilisti wengi eneo hill sio Lao no wapiga porojo tu na wachungaji wengi pia eneo hill sio lao eti ohh leteni wagonjwa waje niwaombee!! Yesu aliagiza kuponya wagonjwa so kuombea wagonjwaUlianza vizuri, lakini pia kumuita Mwinjilisti kuwa ni 'mpiga porojo', ni sawa na kusema kile anachohubiri, yaani injili, ni porojo!
kuna watu wanasaidika kwa waganga pia na wanapona matatizo kibao kama yakoNa makotokoro yao wana wafuasi wengi.kuliko wa Mwakasege!
Tena wafuasi wasomi na matajiri sio wajinga wajinga.
Mimi muumini wa Mwamposya nakanyaga sana mafuta na kunywa maji ya upako
Nilikuwa na mitatizo kibao na nilisaidika
Wewe hakijakubana cha kukubana mwenyewe utamkimbia mwinjilisti na kutafuta mtu anayeweza kuondoa hilo tatizo. Ukiwa na magumu huwezi kwenda kwa mwinjilisti hana uwezo huo. Yeye ni kupiga porojo tu
Na were ukimsaidia mwanao mwenye shida kibao kama ada nk kwa hiyo na wewe utakuwa nabii?kuna watu wanasaidika kwa waganga pia na wanapona matatizo kibao kama yako
je waganga nao ni manabii
Hapo ndio wanawapata wapuuzi na wajingajinga.Nimekuwa nikiyafuatilia kwà muda mwingi sana haya Makanisa ya kiroho yanayoongozwa na Manabii kwenye media, ni nadra Sana kuwakuta wakiihubiri Injili na zaidi yake ni Miujiza, Upako na Uponyaji.