Konseli Mkuu Andrew
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 749
- 874
Kwa muda mrefu sana makanisa mengi yamekuwa yakitegemea sadaka pekee kama njia ya kupata pato la kuendeshea shughuli zote za kanisa na hali hii kupelekea malalamiko toka kwa waumini kuwa michango imezidi makanisani.Kwa mfano unakuta ata safari za kusafirisha viongozi lazima watu wachange hii inaleta ukakasi sana kwakweli.
Ushauri wangu makanisa(baadhi) yajaribu kubuni miradi mbali mbali ili kuondokana na tatizo hili na badala yake sadaka isiwe ndo chanzo pekee cha pato la kanisa.
Ushauri wangu makanisa(baadhi) yajaribu kubuni miradi mbali mbali ili kuondokana na tatizo hili na badala yake sadaka isiwe ndo chanzo pekee cha pato la kanisa.