KWAKUA Edward Ngoyai Lowasa ameonyesha UCHU MKUBWA wa kwenda Magogoni kwa kutumia kila mbinu ziwe safi au chafu licha ya kwamba mwaka 1995 Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alimkataa kutokana na Utajiri mkubwa wa kifisadi aliokua nao licha ya umri mdogo tu wa miaka 42
NA KWAKUA Lowasa ameishatumia hela nyingi za kifisadi kuhonga wajumbe wengi waliofanikisha kujaza watu wake kwenye chaguzi zilizoisha za NEC Wilayani na kwavile alitumia pia hela nyingi hadi kujaza pia watu wake kwenye jumuia tatu za CCM ie Wazazi, Wanawake na Vijana
NA KWAKUA PIA alitumia mamilioni kibao kuhakikisha kwamba Mh Membe anashindwa kufurukura kwenye TOP TEN YA NEC ili kumpunguzia Lowasa kiwingu cha kubeba bendera ya CCM 2015 ingawa Lowasa aliangukia pua katika jitihada hizo
NA KWAKUA Lowasa ameona njia pekee itakayomfanya awezekukubalika ni kutumia UFUKARA WA WATANZANIA na kuendesha HARAMBEE nchi nzima huku akihakikisha habagui kwani kwakua yeye ni mkristo akisaidia makanisa tu atakosa kura za waislam hivyo akaamua kusaidia ujenzi wa misikiti mbalimbali. Lowasa pia anajua kwamba ili kukubalika ni bora asaidia ujenzi wa shule kwani hilo ni kundi muhimu. Mbinu hii pia ilikua ikitumiwa sana na Rais wa zamani wa Kenya Mh D.A . Moi ambae alikua akipenda sana kwenda kwenye mashule na kutoa michango ya mara kwa mara na kusafiri na viongozi wa wanafunzi kwenda nchi za nje hii yote ilikua ni janja yake ili akubalike na wanafunzi.
HIVYO BASI RAI yangu kwa makanisa, misikiti na mashule ni kwamba mchangamkie FASTA hizo hela kwani mwisho wake ni 2015. NEC ikimtosa huyu bwana hamtamuona tena akiendesha harambee hizi!
Great Thinkers, imekaaje hii?