Makanisa, Misikiti na Mashule Changamkieni haraka hela za Lowassa kabla ya 2015

HASSAN
Kusema kwamba LOWASA NI MTAKATIFU NA KWAMBA HANA OVU LOLOTE TU ANAPAKAZIWA NI KUA NA MTINDIO WA UBONGO!
 
ROBERT
Hamna mambo ya kuhisihisi hapa. Hapa kila kitu kipo wazi ie LOWASA NI FISADI NA HELA ANAZOGAWA NI MALI YA WATANZANIA

Galiya,
Tuthibitishie kuwa unacho-sema/ulichoandika kuwa ni sahihi.Ndungu yangu Galiya ni bora tu tukafanya shughuli zetu/kusoma kwa bidii kuliko kubeba vitu vizito akilini mwetu ambavyo inakuwa ni vigumu kuthibitisha au kutegemea
wanasiasa kututhibitishia HAKIKA tukakuwa ni watumwa wa FIKRA ZAO.Tena na wao wanafurahi kweli kwamba biashara inaenda vizuri tu kwa maana vigezo na masharti vimezingatiwa.
 
BIZNOCRATZ
Iwapo itaonekana hata kwenye hayo mavyama mengine ya upinzani mambo ni yaleyale na watanzania ni walewale, tufanyeje Mkuu?

Kwa vyovyote vile lazima kutakuwa na chama cha upinzani kitakachomsimamisha mgombea mwenye mtazamo sahihi kuhusu mustakabali wa nchi yetu. Suala la msingi ni sisi wananchi kuwabana wagombea waeleze kwa nini wanataka kwenda ikulu na ni mikakati ipi waliyonayo kutimiza azma yao hiyo.

CCM hawafai kabisa kutokana na maovu hayo ya ufisadi ambao umekuwa sehemu muhimu ya mfumo wa chama chao (institutionalised). Tutakapowapiga chini 2015, tutatoa ujumbe tosha kwa wanasiasa kwamba Watanzania hawako tayari kuwaunga mkono mafisadi wanaosababisha, pamoja na mambo mengine, nchi yetu kuendelea kuwa taifa maskini.
 
Hatuna haja ya pesa hizo ,tunajitosheleza katika hali zote
Tanzania na watanzania wote kwa pamoja ,
dini zete tunajitosheleza
Uchumi wetu hautegemei lowasa
Ndio maana anaiba kwa Watanzania

Ingekuwa yeye ndio anajitosheleza asingelichukuwa kwetu
Tanazania na watu wake wako Imara kiuchumi
kasoro ni hawa waizi (majizi) yanatusumbua
kila mara tukiweka hazina ,yanaiba
kila tukijalibu kujenga yanabomoa

Nakuambia wape watanzania mwezi mmoja wa uhuru Bila LOWASA
utashangaa.
wape watanzania
Siku saba utaona Barabara zote safi ,mitaro yote itazibuka
watoto wote watakunywa uji shuleni
wape watanzania siku tatu tu, HOSPITALI zote zitafurika madaktari toka pande zote duniani

hatuna haja ya kubembeleza mwizi
tumemsamehe kwa yote aliyofanya
YEYE aende zake kwa amani , hatumdai

TEMBEA salama baba LOWASA uwasalimu wote , sisi ni wazima
 
Back
Top Bottom