Makandarasi zaidi ya 4000 wafutiwa leseni sababu ya utekelezaji mbovu wa miradi

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
13164386_968109426620066_3301359184001827599_n.png

Bodi ya Makandarasi nchini yawafutia leseni Makandarasi zaidi ya 4000 kutokana na utekelezaji wa miradi chini ya kiwango.

Zoezi hilo limefanyika ikiwa ni siku moja baada ya Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Prof.Makame Mbarawa kutoa agizo la kuifuta Bodi ya Usajili wa Makandarasi iwapo itashindwa kuwafuta Makandarasi wababaishaji.
 
Duh! Walikua wapi kuchukua hatua mpaka watikiswe.Rais JPM hii CRB nayo ni JIPU.Tumia plies kulitumbua.
 
View attachment 345221

Bodi ya Makandarasi nchini yawafutia leseni Makandarasi zaidi ya 4000 kutokana na utekelezaji wa miradi chini ya kiwango.

Zoezi hilo limefanyika ikiwa ni siku moja baada ya Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Prof.Makame Mbarawa kutoa agizo la kuifuta Bodi ya Usajili wa Makandarasi iwapo itashindwa kuwafuta Makandarasi wababaishaji.
Kwanini tusitumie uungwana uleule wa kulinda viwanda vibovu vya sukari kwa kuwalinda hawa wawekezaji na wakandarasi wa ndani ?
 
Hata rafiki zetu wachina nao mmewafutia? Au ni muendelezo wa kuleta maisha ya kishetani kwa watanzania?
 
Wangewekwa huku kwenye internet for future reference, kwani record zao itakuwa rahisi kuzipata wakiziweka huku.
 
Hivi unamfutaje kandarasi, wakati kulikuwa na 'consultant' anasimamia kazi hiyo unamuacha....! Pia 'mteja'(serikali kupitia wahandisi kwenye vitengo husika) ambaye alikubali kazi hiyo?
 
Nchi imelewa hii, inawayawaya, inayumbayumba, ni ShidA!!!
 
Back
Top Bottom