Makamu wetu wa rais na kaz zake je tutasonga mbele? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamu wetu wa rais na kaz zake je tutasonga mbele?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by babalao 2, Apr 26, 2012.

 1. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,216
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  Wanajamvi na wataam wa katiba naomba nijuzwe ni zipi kazi za makamu wa rais wa jamhuri ya muungano wa tz maana kila nikitafakari naona ziko sawa na kazi za mke wa rais. kama ni kukata utepe wote wanakata kama ni ufunguzi wa makongamano na warsha mbalimbali wote wanafanya. hata hili la kutokuwa na uwezo wa kuwajibisha watumishi wakorofi wote wanashindwa sasa hapo nashindwa kujua kazi zao zinatofauti gani? na je kwa nini asibaki mmoja kwa kazi hizo na tena madiwani wabunge na hata viongozi wa mikoa na wilaya hawawezi kufanya hayo yote tena kwa gharama ndogo? nawasilisha
   
 2. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45

  endelea kuwaza hivyo tu, kuna siku utapata jibu unalolitafuta.........!
   
Loading...