makamu wa rais zimbabwe akimbilia afrika kusini

nankumene

JF-Expert Member
Nov 12, 2015
7,335
8,116
makamu wa rais wa zimbabwe alietimuliwa na rais zimbabwe amekimbilia afrika ya kusini yeye na familia yake akihofia usalama wake
Rais mugabe alimtimua makamu wake huyo akimtuhumu kutaka kumpindua, cku ya jumatano mugabe aliwaambia wauatsi wake kuwa makamu huyo wa rais alikwenda kwenye kanisa moja nchini humo kuuliza kuwa mugabe atakufa lini lakin huko akajibiwa kuwa ataanza kufa yeye mwenyewe
Sasa inatarajiwa kuwa mkewe rais mugabe atachukua nafasi hio yamakamu wa rais katika kikao maalum cham chama tawala kitakachofanyika mwezi ujao

Sacked Zimbabwe vice-president flees
 
mkewe ndio atammalizia kumuua kabisa,akishamuua ataolewa na bwana aliyenae sasa,
 
Zimbabwe inahitaji mapinduzi huyo mke wa Mugabe atakuja kuwa mbaya sana
 
Mugabe alikosea kujiita Rais. Angejiita tu mfalme, na hakuna mtu angehoji uongozi wake!! Lakini hili la kuja na vyeo vya kusimikwa na wananchi, halafu unawageuza mazuzu!! Only in Africa!!
 
Sasa Mugabe amepata mpinzani wa kweli, huyo jamaa anaenda kuwa mpinzani wake haswaa na huyo mama mugabe akifa ajiandae kukiona cha mtema kuni.
Lakini pia na huyo hafai kuwa raisi maana alikuwa part ya serikali mpaka alipofukuzwa.
 
Mugabe hapo hasikii wala haoni, mwanamke kamuingia hadi katikati ya ubongo, jamani maku tamu sana omba isikunase, utatoa kila kitu..
 
Mrs Mugabe does not have credentials to be a president. "Gucci Grace" can be extremely violent, vicious and cruel. She simply does not have correct judgement, temperant, skills and wisdom required to occupy this important position.

I suspect even if she become president she would not last very long. She have too many enemies inside and outside the party.
 
Kuna watu wananufaika na uwepo wa mzee Mugabe pale ikulu..
Ila kwa macho ya kawaida huwezi kuwaona..
Hao wananguvu ya kuamua nani awe rais hata kesho...
So pale Mugabe ataendelea kukaa mpaka akate moto mwenyewe...
 
Comrade Mugabe anapendwa sana na wananchi wake kutokana na land reform aliyoifanya miaka ya 2000
 
Comrade Mugabe anapendwa sana na wananchi wake kutokana na land reform aliyoifanya miaka ya 2000

He was great hero and he did many goods things for his country. But he needs to retire now. I think he still retain some support of people in Zimbabwe because of what he did, but many Zimbabweans don't share same feeling for Gucci Grace.

She is actually hated by majority of normal people because of her extravagant lifestyle while many people live in extremely poverty, her viciousness, vindictness and shallowness doesn't help either. She was given PhD by her hersband after two months at University without defending a dissertation. She also like to beat up people she doesn't like (Richard Jones, Gabriella Engels) or poison them (Mnangagwa).

She is not helping her cause by creating powerful enemies who have been in trenches and fight for independence with Mugabe. These people like Joyce Mujuru and Emmerson Mnangagwa know all the secrets of states and are still respected by their comrades. She will certain struggle to retain and maintain support of War Veterans, Military and Intelligence chiefs once her husband is gone.
 
Hivi wazimbabwe ni mazuzu kama sisi tu au vipi, yaani wanashindwa kuwa kama wajaruo wa kenya???
 
Back
Top Bottom