Makamu wa Rais Zanzibar, amuunga mkono Membe

haa haa naona ccm inazidi kuwa mapandemapande. makamu wa rais wa jmt ni team lowasa makamu wa rais wa zanzibar team membe. all in all mgombea yeyote wa ccm si wa kumuamini kamwe.
 
Mr. President

haa haa hivi CCM nako kuna demokrasia? labda demokrasia ya kuhonga. ndani ya ccm huwezi kuwa mwenyekiti bila kuwa rais wa muungano hiyo ndo demokrasia? ndani ya ccm huwezi shinda nafasi yoyote ya uongozi bila kuwa na fedha. je hiyo ndo demokrasia?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom