Makamu wa Rais wa Zanzibar aibu tupu kwenye kampeni za udiwani Arusha na CUF yake

olevaroya

JF-Expert Member
May 6, 2012
1,224
512
Maalim seif sharif HAMAD AIBU TUPU KTK MKUTANO WA KAMPENI KATA YA ELERAI BAADA YA KUDANGANYWA NA JOHN BAYO MGOMBEA UDIWANI KUWA ANAKUBALIKA MATOKEO YAKE NI AIBU KWA MAKAMU WA RAIS NA MSAFARA WAKE WA POLISI NA USALAMA WA TAIFA KWA KUCHEZEA KODI ZA WATANZANIA NA KUJA KUHUTUBIA WATU AROBAINI NA MBILI,KWA KWELI INASIKITISHA SANA,NITAWEKA PICHA MDA SI MREFU,KWELI MAKAMANDA WA ARUSHA WAMEHAMUA CHEZEA CHADEMA WEEEEEEEE
 
Kwakweli ni kukosa kazi ya kufanya yani makamu wa rais uje kwenye kampeni za udiwani ni kujidhalilisha shame on them
 
Inawezekana hao arobain na 2 ni wanachama hai,hao 1000 wa cdm ni mfu.
 
Ana haki ya kuwafanyia kampeni wagombea wake,wala msimuhukumu kushinda au kushindwa ni kawaida katika medani ya kisisa,mbona Mheshimiwa Mkapa alijidhalilisha Arumeru na bado anapeta tu?
 
Huyu maalim majuzi tu alikuwa anawahutubia wazanzibar wakatae muungano(uhaini),amefuata nini Arusha?Wageni wanaruhusiwa kufanya siasa Tanganyika?Mh Nasari(mb)alihojiwa na polisi baada kupendekeza Jamhuri ya Kaskazini;huyu maalim mbona hakuhojiwa?Double standards
 
Mara ngapi Mbowe (mr zero), babu Slaa na Lissu huwa wana hutubia miti? au huko hamuoni nidondoshe picha?
 
Arusha ni chadema kila kona............................. maalim seif hata msikitini hakubaliki
 
Maalim seif sharif HAMAD AIBU TUPU KTK MKUTANO WA KAMPENI KATA YA ELERAI BAADA YA KUDANGANYWA NA JOHN BAYO MGOMBEA UDIWANI KUWA ANAKUBALIKA MATOKEO YAKE NI AIBU KWA MAKAMU WA RAIS NA MSAFARA WAKE WA POLISI NA USALAMA WA TAIFA KWA KUCHEZEA KODI ZA WATANZANIA NA KUJA KUHUTUBIA WATU AROBAINI NA MBILI,KWA KWELI INASIKITISHA SANA,NITAWEKA PICHA MDA SI MREFU,KWELI MAKAMANDA WA ARUSHA WAMEHAMUA CHEZEA CHADEMA WEEEEEEEE
Hivi ni kweli anapotoka ofisini kwake anaomba msafara na ulinzi kwa gharama za Jamhuri ili akamnadi diwani wake? Tunahitaji mabadiliko makubwa kama ndio hivi.
 
Mbona kuna Uzi humu ulidai baada ya MAALIM SEIF kuingia Arusha , CDM yachanganyikiwa ! Kumbe ilkuwa uzushi ? Na vipi wale WARANGI wanaolala kwenye nyumba za Ibada , hawakujaza uwanja ?
 
Mara ngapi Mbowe (mr zero), babu Slaa na Lissu huwa wana hutubia miti? au huko hamuoni nidondoshe picha?
Hayo tumeyaona kwa Kikwete na KInana bila mabasi hakuna watu wakipita ni kuzomewa na kupopolewa mawe hao kwisheney bila polisi hakuna uhai wao tafuta thread kibao humu Kinana akikimbia wananchi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom