Makamu wa rais wa Tanzania ni mtaalamu wa nuclear

Mwingine anaitwa Dr. Mohamed Tulli alikuwa anafundisha Kuwait. Toto la Kariakoo.
Sasa mbona hatuoni mchango wao kwenye kuchangia maendeleo ya Taifa letu kwenye secta hii hadhimu,
nadhani kuna kitu kinawaunganisha ambacho kimewajengea msingi wa ubinafsi na ukosefu wa msukumo
wa maendeleo
 
Watanzania bwana. Sasa tulitaka asiingie kwenye siasa afanye nini? Hivi hamjui mambo yote tanzania yanategemea siasa? Wewe hata uwe professor sijui kutoka pale NASA ukija tanzania bila mchongo kupitia siasa wewe ni bure tu. Sasa huyu Dr. Bilali kwa wanaomjua hata sasa yuko fiti na anaweza kuingia darasa lolote pale USA na akakata nondo. Lakini kwa sababau mambo yote kwetu ni siasa inabidi aingie jikoni kabisa kuliko kuimbiwa kushoto kulia. Si mnakumbuka sakata la Baregu? kama watanzania kweli wanapenda nchi hii ni wakati wakuandalia mazingira mazuri wasomi hili wakae vyuoni. Mazingira ya kufanya tafiti na kuishauri serikali katika mambo mbalimbali ya taharuma zao inabidi waige nchi zilizo endelea je ni kwa nini wataalamu ktk nchi zilizoendelea wanakaa sana vyuoni kuliko kukimbilia siasa lakini nchi zetu ni kinyume chake.

Atakayefuatilia kwa karibu atapata jibu na hatakosoa mtaalamu sijui wa nyukilia kuingia katika sisa za bongo, mbonA hata mwandyosa, mwakyembe, Mwakyusa, Maghembe, Kapuya nk ni watahalamu wakutisha katika fani zao.

Kinachoudhi ni pale mcheza ngoma na twisti anapo ingia kwenye siasa akaonekana wa maana sana kuliko professor.
 
Huyu alipata U dokta baada ya kuwagaragaza CHADEMA.
"mgema akisifiwa....."
Acha uongo.Alipewa udr. ili watakapokuwa kwenye kampeni za uraisi na DR. W.P Slaa asionekane kupwaya.Maana ka BA kake ukilinganisha PHD ya ukweeee! ya DR.Slaa, yaaani angeonekana kilaza wa kumfa mtu.
 
Dr.Bilal completed his primary education at Makunduchi, district of Zanzibar in 1958 and attended his secondary education at Beit-el-ras in 1962 and later on joined Lumumba secondary schools in Zanzibar. Before completing Form Five Dr.Bilal received a Scholarship to go to America, where he studied physics at Howard University and graduated his first degree in physics and mathematics in 1967.
After undergraduate studies he joined the University of Berkely of Carlifonia for MA degree in Physics in 1969. After graduation he began work as assistant to the education, Teaching Assistant
Mohammed Gharib Bilal was a Research Assistant in 1976 until he succeeds to get a PhD in Physics from the University of Carlifonia.
Later the same year he joined the University of Dar-es-salaam as a lecturer in physics unit.
In 1983 he was elected head of the Department of Nuclear Physics.
In 1983 he participated to establish a national organization of radiation and contribute professional the preparation of draft of legislation which led to the law of use and control of the nuclear radiation in Tanzania.
In 1988 he was appointed head of the Faculty of Science at the University of Dar-es-salaam and continue in office until 1990 when he was appointed Permanent Secretary in the new Ministry of Science Technology and Higher Education in 1990-1995.
As secretary-general he was involved in starting the process of sharing the costs of higher education and the introduction of credit. Also, the ministry introduced the Open University, along with establishing control over higher education institutions (accreditation council).
In 1988 Dr Bilal was a project initiator in Zanzibar's science camp aimed at motivating young people studying science and to help all secondary schools in Zanzibar (Unguja and Pemba) Getting equipment to facilitate testing of students to understand science more practical.
The project eventually was adopted by the Ministry of Education in Zanzibar. The project encouraged many young people to study science and give them the challenge of learning many different topics about Zanzibar environment.
As a teacher of the University Dr Bilal was able to participate in a board far away, such as the Commission of Science and Technology (COSTECH), Commission of radiation (NRC), chairman of the science panel of the Inter University Council of East Africa and also participated pioneering studies on environmental science (1990).
Mohammed Gharib Bilal got an opportunity to attend seminars and short courses in various professions, for example, seminars of [atomic agency] ([IAEA]) in 1980 Kwabena, Ghana. 1984/85. Fellowship University of Singapore. Also attended sessions each year with the organization of Atomic.
Source : Mohamed Gharib Bilal - Wikipedia, the free encyclopedia

FF wakati mwingine nakukubli sana kwa ushahidi wa wazi,big up
 
Thanks FF, umemsaidia sana mleta mada, anaeonekana aidha ni mvivu au hajui kuwa haya yanapatikana kwa ku-serach! Good day mkuu!
 
Wana JF naomba mwenye CV ya makamu wa rais mr. Bilali aiweke adharani bs kuna kuna habr ambazo kwangu mm bado ni tetesi kuwa mkuu huyu ni Dr. wa mambo ya kemikali na sana kwenye teknolojia ya nucler na alishafanya kazi Urusi kabla ya kurudi kwenye siasa ya bongo.plz wenye data sahihi tujuzeni.

Kwa Tanzania hapa hiyo taaluma inamsaidia kufungua makongamano na kutembea na mkasi mfukoni kuzindua majengo n.k
 
Mkuu mimi sifahamu kama alishafanya kazi Urusi ila Dr. Billal ni mtaalam wa nyuklia hiyo haina ubishi. wapo wachache sana hapa na mwingine anaitwa prof. Kondoro nadhani bado yupo DIT. Kama tungekuwa tunarutubisha urani basi hao wangekuwa ndio vinara wetu.

Mungu epushia mbali, watakufa hata kinu kimoja hawajaacha.
Yah Prof Kandoro bado afadhali yeye anaendelea japo kupika warithi wake (hata kama si nuke) ila huyu Sheikh Bilal ni tumekula hasara tu kwa kutumikia kwake siasa nyepesi....
 
"mgema akisifiwa....."
Acha uongo.Alipewa udr. ili watakapokuwa kwenye kampeni za uraisi na DR. W.P Slaa asionekane kupwaya.Maana ka BA kake ukilinganisha PHD ya ukweeee! ya DR.Slaa, yaaani angeonekana kilaza wa kumfa mtu.

Wewe hushangai mtu ambae hana BA wala MA ana PhD? Dahh, nikiwaambia mnachekesha hampendi, haya, mnashangaza!
 
Huyu alipata U dokta baada ya kuwagaragaza CHADEMA.

FaizaFoxy una akili kama mchwa!
Nilikuwa sijui kwamba kuna somo katika vyuo vikuu linaitwa CHADEMA, ambalo unaweza kulifanyia research na kutunukiwa shahada ya pHD!!!
Kazi kweli kweli.
Ndiyo maana Tz iko pale pale miaka nenda rudi, kwenye kitu seriuos watu wanaingiza masihara.
 
Back
Top Bottom