kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,698
- 1,941
Chanzo cha Habari ni BBC tuombe wajameni
Mike pence hakuwepo hapo kwa ajili ya kuruhusu vita ianze. Mwenye kutoa order ni Donald trump mbona mnapenda kukurupuka na habari za uzushi?Chanzo cha Habari ni BBC tuombe wajameni
Chanzo cha Habari ni BBC tuombe wajameni
Unakaidi nini mkuu Au luga yetu Ile ndo shidaAcha kuifanya JF kua kama fesibuku.
Nimeangalia BBC hakukua na mataputapu haya uliyopost.
Unakaidi nini mkuu Au luga yetu Ile ndo shida