Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Marekani atuma salamu za Pongezi kwa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Tanzania

Kiwanda cha kondomu tumeshaanza kujenga cha kwetu kwa pesa zetu wenyewe hapo MSD. Kitatoa kondomu bora sana kwa watanzania vyenye usalama wa uhakika. Haya makondomu ya misaada tunaachana nayo kwani huwezi kujua usalama wake. Wanaweza wakakuwekkea mavitu mengine ya ajabu ajabu kwenye makondomu hayo.
Ukimwi una miaka zaidi ya 359+ tangia ugundulike Tanzania kwa mara ya kwanza,
Leo ndio kinajengwa Kiwanda cha Condom? (Kama ni kweli lakini)

Mimi nadhani wangehangaika na Chanjo ya Covid-19 hao Wataalam wetu.
 
Kwa miaka yote hiyo unajuaje kama walikuwa hawatuwekei mambo ya ovyo ovyo? Unajua ni sababu gani kwa mfano asilimia 50 % ya wanaume wa Dar wanaupungufu wa nguvu za kiume? Yaani hata idadi ya kufunga ndoa imekuwa ikipungua mwaka hadi mwaka. Huko Dodoma spika wa bunge Mh Ndungai alienda kutembelea health centre moja ya kisasa yenye vitanda 20 vya kuzalia (delibery beds) alisikitishwa kuvikuta viko empty. Na akaambiwa deliveries siku hizi hazizidi 5 kwa mwezi. Aliwalaumu sana wagogo wa kiume wa Dodoma kwa kushindwa kutimiza majukumu yao. Huko.wilaya ya Rombo hali ni mbaya zaidi. Imefikia kiwango hadi cha ku import madume kutoka nchi jirani ili kuokoa jahazi.
Huu ni uzushi hilo tatizo lipo dunia nzima na sababu zinafahamika, weka sababu ambazo ulienda mahali pengine huwezi kuzipata. Wangeamua wangetumaliza miaka mingi
 
Kiwanda cha kondomu tumeshaanza kujenga cha kwetu kwa pesa zetu wenyewe hapo MSD. Kitatoa kondomu bora sana kwa watanzania vyenye usalama wa uhakika. Haya makondomu ya misaada tunaachana nayo kwani huwezi kujua usalama wake. Wanaweza wakakuwekkea mavitu mengine ya ajabu ajabu kwenye makondomu hayo.
Unaangalia kiwanda jengo,utaalamu was utengenezaji na malighafi zinatoka Makunduchi sio??
 
Wewe endeleq kusubiri condom za bure za mabeberu.
Ila magufuli alitaka ununue condom imeandikwa" made in tanzania ".
TATIZO VIZURI HAVIDUMU.
yapo pia sikatai magufuli alikuwa na mapungufu yake makubwa
Yuko wapi?
 
Wewe endeleq kusubiri condom za bure za mabeberu.
Ila magufuli alitaka ununue condom imeandikwa" made in tanzania ".
TATIZO VIZURI HAVIDUMU.
yapo pia sikatai magufuli alikuwa na mapungufu yake makubwa
Wewe endelea kuota, eti alitaka, sasa mbona hakufanya? Kutaka na kutenda ni tuvitu tuwili tofauti. Arishundwa kujilinda na colons ndio aweze kujenga kiwanda!
 
Kiwanda cha kondomu tumeshaanza kujenga cha kwetu kwa pesa zetu wenyewe hapo MSD. Kitatoa kondomu bora sana kwa watanzania vyenye usalama wa uhakika. Haya makondomu ya misaada tunaachana nayo kwani huwezi kujua usalama wake. Wanaweza wakakuwekkea mavitu mengine ya ajabu ajabu kwenye makondomu hayo.
Hizo kondomu za msd utavaa wewe na washamba wenzako..
 
View attachment 1730473
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametuma salamu za pongezi kwa Rais mpya wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ambaye ameandika historia ya kuwa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kamala Harris amesema pia Marekani ipo tayari kushirikiana na Tanzania kuboresha mahusiano baina ya nchi hizo mbili. Alisema hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter.

Kamala Harris aliandika historia pia ya kuwa Mwanamke wa kwanza na pia mmarekani mweusi wa kwanza kushika nafasi ya Makamu wa Rais nchini Marekani.

====
"Sending best wishes to @SuluhuSamia following her swearing in as Tanzania's new President - the first woman to hold the office. The United States stands ready to work with you to strengthen relations between our countries," she wrote.
Kamala kama kamala.
 
Viwandaa vipo vingi.
Ni wewe kuamua kuvitafuta
Hii topic wacha usiiguse, wacha leo niko safarini. Nitapata muda tujadili kuhusu viwanda na unambie viko wapi leo hii, ule wimbo wa viwanda uliishia wapi?
 
Back
Top Bottom