Makamu wa Rais wa Chama Cha Madaktari ajiuzulu wadhifa wake na kujiunga CHADEMA

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Rais wa Chama Cha Madaktari Tanzania Dr. Rodrick ametangaza kujiuzulu wadhifa wake na kujiunga CHADEMA.

Dr. Rodrick amesema kuwa ndani ya taasisi yenye mkono wa serikali hakuna nafasi ya kupigania maslahi mapana ya madaktari Tanzania, amesema ameona mahali pekee atakapopigania maslahi ya madaktari kwa uhuru ni chadema, chama ambacho kimeonyesha kwa nia na dhamira njema kutetea maslahi ya wanyonge kwa vitendo.

Tunamkaribisha kwa mikono miwili.

Source: ITV
 
Najiuliza kwann asiende nccr mageuzi badala yake akachagua chadema. Leo nimepata ni kwann akina zitto , mtela, Juliana, habib na wengine hawataki kuondoka cdm. Jibu ni kuwa hawataki kuondoka kwenye tumaini pekee za kizazi kipya cha tz. Karibu kamanda. KILA WIKI LAZIMA TUPATE KAMANDA MPYA!
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom