jaffari yogo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 685
- 148
Makamu wa rais tunakuomba utoe tamko juu ya mavazi haya ya wanawake wanaotudhalilisha maana wanavaa nusu uchi ilhali wengine kuvaa suruali soksi.
Tarehe 01.01.2016 waliogopa kuvaa kuwa watashughulikiwa lakini walipogundua kuwa hakuna ufuatiliaji waliendelea kuvaa.
Tusaidie katika hili pamoja na wanaume wanaovaa mitepesho au kata K.