Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ahamia Dodoma rasmi

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amehamia rasmi Makao Makuu ya Nchi, Dodoma. Amefikia Ikulu ndogo iliyopo eneo la Kilimani.

Hii ni kutekeleza azma ya serikali kuhamisha makao makuu yake kutoka Dar kwenda mji huo kabla ya mwaka 2020



Full Text to follow
 
Tbc 1 wanarusha live tukio la kihistoria la makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuhamia rasmi Dodoma hii Leo tarehe 15.12.2017. Safari ya Dodoma hiyoooooo watanzania. Serikali sasa rasmi Dodoma
 
Ahame salama
kwa wastani serikali inabebwa na wizara tatu.

1. wizara ya mambo ya nje (hii lazima iondoke na mabalozi, taasisi za kimataifa na mashirika ya nje yote)
2. wizara ya fedha
3. ofisi ya Rais

hawa wakienda Dodoma kuna asilimia kubwa ya wahindi kung'oa viwanda na kufuata fedha zilikokimbilia and in short Dar inaweza isikue tena badala yake watu wakaanza kufuata ajira Dodoma

NI MAONI YANGU TU
 
Back
Top Bottom