Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ahamia Dodoma rasmi

Kwa hiyo na Bandari itakimbilia Dodoma?
bandari siyo tatizo sana maana hata ukichukulia hivyo Mombasa ingekuwa juu ya Nairobi lakini angalia wahindi walipokimbilia Nairobi basi Mombasa umebaki ni mji wenye bandari ya kupokelea bidhaa za Nairobi
 
Nendeni Dodoma huku mkijifariji tuachieni Wabishi
 
kwa wastani serikali inabebwa na wizara tatu.

1. wizara ya mambo ya nje (hii lazima iondoke na mabalozi, taasisi za kimataifa na mashirika ya nje yote)
2. wizara ya fedha
3. ofisi ya Rais

hawa wakienda Dodoma kuna asilimia kubwa ya wahindi kung'oa viwanda na kufuata fedha zilikokimbilia and in short Dar inaweza isikue tena badala yake watu wakaanza kufuata ajira Dodoma

NI MAONI YANGU TU
Asikwambie mtu hata serikali yote ihamie Dodoma, Dar haiwezi athiriwa na kitu chochote kile kwanza tuangalie je asilimia 90 ya wakazi wa Dar, je ni wafanyakazi wa serikali? kiasi wasipokuwepo watatetereka
 
bandari siyo tatizo sana maana hata ukichukulia hivyo Mombasa ingekuwa juu ya Nairobi lakini angalia wahindi walipokimbilia Nairobi basi Mombasa umebaki ni mji wenye bandari ya kupokelea bidhaa za Nairobi
Kwaio unataka kusema serikali ikihamia Dodoma, soko la kariakoo,buguruni,vingunguti mahakama ya mbuzi, mabibo yatahamia Dodoma? kwani asilimia 90% ya wafanyakazi wa serikali wanaishi Dar?
 
Ni kweli kabisa. Dar itakuwa ni mkoa tu sawa na mikoa mingine. Yale majigambo yao yakuwaita wale wanaotoka nje ya Dar kama watu wa mikoani yatakuwa ndiyo mwisho. Watabaki na bandari yetu tu lakini bandari kama za Bagamoyo, Tanga na Mtwara nazo zinazidi kuimarishwa. Mpango wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kama utafanikiwa, bandari hiyo ya Bagamoyo will be the best in Africa! Kwa heri Dar es Salaam.
Shanghai vs Beijing,Lagos vs Abuja,J'burg vs Pretoria/Durban,Washington vs New York City et al! Miji mikubwa ya pwani ya kibiashara itaendelea kushine tu!
 
Tbc 1 wanarusha live tukio la kihistoria la makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuhamia rasmi Dodoma hii Leo tarehe 15.12.2017. Safari ya Dodoma hiyoooooo watanzania. Serikali sasa rasmi Dodoma
wanaacha kurusha bunge live kwa kisingizio cha budget ila safari ya dodoma kila siku kila saa hadi visivyo na maana wanahela za kurusha live. haya ni matumizi mabaya ya kodi zetu wananchi
 
Ni dalili kuwa bwana yule anakimbiwa kwa mineno yake isiyo na paragraph
 
kwa wastani serikali inabebwa na wizara tatu.

1. wizara ya mambo ya nje (hii lazima iondoke na mabalozi, taasisi za kimataifa na mashirika ya nje yote)
2. wizara ya fedha
3. ofisi ya Rais

hawa wakienda Dodoma kuna asilimia kubwa ya wahindi kung'oa viwanda na kufuata fedha zilikokimbilia and in short Dar inaweza isikue tena badala yake watu wakaanza kufuata ajira Dodoma

NI MAONI YANGU TU
Upo sahihi, pia hakuna tija yoyote ya kuhamia Dodoma.
 
Nyerere kashindwa kwa Miaka 23 lakin JPM ndani ya Miaka miwili kaweza
Halafu Watu wanashangaa Watu kuja kumuunga
Mkono Rais
Azimio la kuhamia Dodoma lilifanywa 1974 sasa hiyo miaka 23 umeitoa wapi?
 
Back
Top Bottom