Kwani kila familia ikizika mwanae kuna tatizo au nilazima siasa ifanyike ndo ionekane serekali inajali sana??Makamu wa Rais JMT akiambatana na Jaji mkuu na Katibu mkuu wa CCM wataongoza maombolezo na mazishi ya watoto waliopata ajali Rhotia Karatu..
Usichukulie hili jambo kwa wepesi sana mkuu au kwa sababu halijakufika badoKwani kila familia ikizika mwanae kuna tatizo au nilazima siasa ifanyike ndo ionekane serekali inajali sana??
Ukweli mchungu.!Kwani kila familia ikizika mwanae kuna tatizo au nilazima siasa ifanyike ndo ionekane serekali inajali sana??
Msiba wa taifa huu. Viongozi wangelala makwao pia mngeongeaKwani kila familia ikizika mwanae kuna tatizo au nilazima siasa ifanyike ndo ionekane serekali inajali sana??
Makamu wa Rais JMT akiambatana na Jaji mkuu na Katibu mkuu wa CCM wataongoza maombolezo na mazishi ya watoto waliopata ajali Rhotia Karatu..
Source :ITV
Amepona?Kinana
Pole kwa wafiwa wote kwa ujumla . Lkn Hili la kinanaAmepona?
Kwani serikali inazika au inaaga?Kwani kila familia ikizika mwanae kuna tatizo au nilazima siasa ifanyike ndo ionekane serekali inajali sana??