Makamu wa Rais na Gavana BOT ushahidi wao kusuhu Sabaya ulitolewa lini?

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
804
1,945
Wakuu
Naombeni maelekezo zaidi hapa ili nielewe zaidi
Nakumbuka kuna siku Sabaya alikiri makosa ya unyanganyi na akasema kwamba alikuwa anatumika zaidi makamu wa rais Dr Mpango na Governor Luoga wote wanajua kwamba alikuwa anakamilisha mission

Wadau wengi walituaminisha kwamba kesi hii ni ngumu kwani itamuhitaji makamu wa rais na gavana kwenda mahakamani kutoa ushahidi

Je ni lini watu hao wametoa ushahidi huo?

Hukumu imetokaje kabla ya mashahidi kutoa ushahidi?

Sabaya kaonewa au kuna picha limetengenezwa hapa
 
Kauliz mahakama,au hakimu mtafute twitter Facebook au Instagram .
Atakujibu
 
Nakumbuka kuna siku Sabaya alikiri makosa ya unyanganyi na akasema kwamba alikuwa anatumika zaidi makamu wa rais Dr Mpango na Governor Luoga wote wanajua kwamba alikuwa anakamilisha mission
Since Day One, watu walipoamini kwamba huo ugumu ungewepo, nilisema jamvi hili hili kwamba HAKUNA UGUMU WOWOTE!!

Nilisema wazi kwamba, kama ni kweli Sabaya alipewa maagizo ya kufanya mambo ya hovyo, basi maagizo hayo hayawezi kuwa official, na kwahiyo yasingeweza kuwa documented anywhere!!

Na kama yalikuwa maagizo ambayo hayakuwa documented anywhere, Sabaya asingeweza kuthibitisha madai yake kwa sababu maagizo ya aina hiyo sana sana utaletewa kwa njia ya simu!!

So, kabla hatujahoji ikiwa akina Mpango waliitwa mahakamani kwenda kutoa ushahidi, je Sabaya alithibitisha madai yake kwamba yalikuwa ni maagizo kutoka juu?

Mbaya zaidi, Sabaya alisema ni "maagizo kutoka kwa hao waliotajwa" basi bora hao angewataja kama mashahidi wake na kuitaka mahakamani waitwe kwenda kutoa ushahidi! Kinyume chake, imekuwa ni kama amewatuhumu tu, jambo linaloweza kutafsirika ilikuwa ni ile inaitwa "Mfa maji hakosi kutapatapa"! Hata akiona puto linaelea, atalikumbua huku akijaribu kulifanya boya!
 
Au ndo ulotolewa mahari??
Yaani wewe ndiyo uikumbushe/uifundishe mahakama kuu?
 
Wakuu
Naombeni maelekezo zaidi hapa ili nielewe zaidi
Nakumbuka kuna siku Sabaya alikiri makosa ya unyanganyi na akasema kwamba alikuwa anatumika zaidi makamu wa rais Dr Mpango na Governor Luoga wote wanajua kwamba alikuwa anakamilisha mission

Wadau wengi walituaminisha kwamba kesi hii ni ngumu kwani itamuhitaji makamu wa rais na gavana kwenda mahakamani kutoa ushahidi

Je ni lini watu hao wametoa ushahidi huo?

Hukumu imetokaje kabla ya mashahidi kutoa ushahidi?

Sabaya kaonewa au kuna picha limetengenezwa hapa
Kitendo cha yeye kukiri kosa tu nadhani kisheria ashajimaliza
 
Sabaya alikiri wazi kuyatenda makosa yote aliyoshutumiwa
Hakuna haja ya kuyawanyia kazi maneno pasi ushahidi wa kimaandishi na signature
 
Wakuu
Naombeni maelekezo zaidi hapa ili nielewe zaidi
Nakumbuka kuna siku Sabaya alikiri makosa ya unyanganyi na akasema kwamba alikuwa anatumika zaidi makamu wa rais Dr Mpango na Governor Luoga wote wanajua kwamba alikuwa anakamilisha mission

Wadau wengi walituaminisha kwamba kesi hii ni ngumu kwani itamuhitaji makamu wa rais na gavana kwenda mahakamani kutoa ushahidi

Je ni lini watu hao wametoa ushahidi huo?

Hukumu imetokaje kabla ya mashahidi kutoa ushahidi?

Sabaya kaonewa au kuna picha limetengenezwa hapa
Kitendo cha kusema alitumwa ameshakiri kuwa amefanya kweli ila kwa kutumwa ...sasa hao wengine waitwe kufanya nini ikiwa si mashahidi wala hawana mashtaka bali wameshutumiwa tu tena na mtuhumiwa bila ya kuwa na ushahidi usio na shaka.
 
Wakuu
Naombeni maelekezo zaidi hapa ili nielewe zaidi
Nakumbuka kuna siku Sabaya alikiri makosa ya unyanganyi na akasema kwamba alikuwa anatumika zaidi makamu wa rais Dr Mpango na Governor Luoga wote wanajua kwamba alikuwa anakamilisha mission

Wadau wengi walituaminisha kwamba kesi hii ni ngumu kwani itamuhitaji makamu wa rais na gavana kwenda mahakamani kutoa ushahidi

Je ni lini watu hao wametoa ushahidi huo?

Hukumu imetokaje kabla ya mashahidi kutoa ushahidi?

Sabaya kaonewa au kuna picha limetengenezwa hapa
Sio kila unaemtaja Mahakamani wakati unajitetea (hata kama huna vithibitisho dhidi yake) Mahakama itamwita ingekuwa hivyo Mahakama zingejaa watu wanaojitetea kwa kutuhumiwa na washtakiwa
 
Wakuu
Naombeni maelekezo zaidi hapa ili nielewe zaidi
Nakumbuka kuna siku Sabaya alikiri makosa ya unyanganyi na akasema kwamba alikuwa anatumika zaidi makamu wa rais Dr Mpango na Governor Luoga wote wanajua kwamba alikuwa anakamilisha mission

Wadau wengi walituaminisha kwamba kesi hii ni ngumu kwani itamuhitaji makamu wa rais na gavana kwenda mahakamani kutoa ushahidi

Je ni lini watu hao wametoa ushahidi huo?

Hukumu imetokaje kabla ya mashahidi kutoa ushahidi?

Sabaya kaonewa au kuna picha limetengenezwa hapa
Ndio maana rufaa yake kwa Mahakama Kuu itakuwa nyepesi kweli! Kwanini watu (mashahidi) watajwa na mtuhumiwa halafu hawaji mahakamani? Balozi Prof. Costa Mahalu alitoa utetezi mahamani kuwa alielekezwa na aliyekuwa Rais wakati huo Hayati Benjamin Mkapa kununua Jengo la Ubalozi nchini Italia. Mahakama ilimuita Hayati Mkapa mahakama naye akathibitisha. Kesi ikaisha na sasa Balozi Prof. Costa Mahalu ni Makamu Mkuu wa Chuo SAUT, hapa Jijini Mwanza.

Kwanini kwa Ole Sabaya Dk. Mpango na Prof. Luoga hawakwenda mahakamani aidha kumkana au kumkiri? Viva Ole Sabaya Viva! Aluta Continua!!!!!!!
 
Mashtaka yalikuwa mengi hilo la kukamata fedha bandia ambalo VP halikulijadiliwa ye kesi mija tu ya kuvamia duka na kupora akiwa na silaha ndo imemwondoa
 
Since Day One, watu walipoamini kwamba huo ugumu ungewepo, nilisema jamvi hili hili kwamba HAKUNA UGUMU WOWOTE!!

Nilisema wazi kwamba, kama ni kweli Sabaya alipewa maagizo ya kufanya mambo ya hovyo, basi maagizo hayo hayawezi kuwa official, na kwahiyo yasingeweza kuwa documented anywhere!!

Na kama yalikuwa maagizo ambayo hayakuwa documented anywhere, Sabaya asingeweza kuthibitisha madai yake kwa sababu maagizo ya aina hiyo sana sana utaletewa kwa njia ya simu!!

So, kabla hatujahoji ikiwa akina Mpango waliitwa mahakamani kwenda kutoa ushahidi, je Sabaya alithibitisha madai yake kwamba yalikuwa ni maagizo kutoka juu?

Mbaya zaidi, Sabaya alisema ni "maagizo kutoka kwa hao waliotajwa" basi bora hao angewataja kama mashahidi wake na kuitaka mahakamani waitwe kwenda kutoa ushahidi! Kinyume chake, imekuwa ni kama amewatuhumu tu, jambo linaloweza kutafsirika ilikuwa ni ile inaitwa "Mfa maji hakosi kutapatapa"! Hata akiona puto linaelea, atalikumbua huku akijaribu kulifanya boya!
Thank you
Hili ndio lilikuwa lengo nielewe why hawakuitwa
 
Ndio maana rufaa yake kwa Mahakama Kuu itakuwa nyepesi kweli! Kwanini watu (mashahidi) watajwa na mtuhumiwa halafu hawaji mahakamani? Balozi Prof. Costa Mahalu alitoa utetezi mahamani kuwa alielekezwa na aliyekuwa Rais wakati huo Hayati Benjamin Mkapa kununua Jengo la Ubalozi nchini Italia. Mahakama ilimuita Hayati Mkapa mahakama naye akathibitisha. Kesi ikaisha na sasa Balozi Prof. Costa Mahalu ni Makamu Mkuu wa Chuo SAUT, hapa Jijini Mwanza.

Kwanini kwa Ole Sabaya Dk. Mpango na Prof. Luoga hawakwenda mahakamani aidha kumkana au kumkiri? Viva Ole Sabaya Viva! Aluta Continua!!!!!!!
Kwahiyo unategemea wakiitwa na kuthibitisha kweli walimtuma akaibe mali za raia kesi kwa sabaya inaisha?
Na umemaliza kabisa na Viva Sabaya
 
Back
Top Bottom