Makamu wa Rais Mpango kaua biashara ya Samaki kwa maslahi ya nani?

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,031
Viongozi mchunge kauli zenu,

Kujifanya mnajua kila kitu wakati tunajua uwezo wenu kiakili ni mdogo lakini tukiwaona tunajifanya kuwanyenyekea deep down tunajua tunawanyenyekea wajinga wenye madaraka.

Umeua biashara ya Sato na Sangara kwa kauli yako kuwa maji ya kuoshea maiti hutumika kuhifadhia samaki hao. Leo hii umeua ajira za watu wa Mwanza, Kagera na Mara na Kigoma kwenye migebuka bila hata aibu.

Leo hii hakuna order za samaki kama sangara na sato kwenda Dar, Dodoma, Morogoro, Mtwara, Mbeya wateja wamegoma kabisa.

Umewakosesha ajira vijana wa kitanzania hasa wavuvi, wamiliki wa mitumbwi na boti za kuvulia, yaani hata aibu hauoni.

Kwanini viongozi mnaropoka bila kufikiri wala bila kua na tafiti za kutosha?
 
Imagine naibu waziri anampinga makamu wa rais😂😂😂

Hivi hii nchi tuna viongozi wenye uwezo wa kufikiri sawa sawa kweli?.,.

We are doomed...

20220916_104434.jpg
 
Viongozi mchunge kauli zenu,

Kujifanya mnajua kila kitu wakati tunajua uwezo wenu kiakili ni mdogo lakini tukiwaona tunajifanya kuwanyenyekea deep down tunajua tunawanyenyekea wajinga wenye madaraka.

Umeua biashara ya Sato na Sangara kwa kauli yako kua maji ya kuoshea maiti hutumika kuhifadhia samaki hao. Leo hii umeua ajira za watu wa Mwanza, Kagera na Mara na Kigoma kwenye migebuka bila hata aibu.

Leo hii hakuna order za samaki kama sangara na sato kwenda Dar, Dodoma, Morogoro, Mtwara, Mbeya wateja wamegoma kabisa.

Unewakosesha ajira vijana wa kitanzania hasa wavuvi, wamiliki wa mitumbwi na boti za kuvulia, yaani hata aibu hauoni.

Kwa ninj viongozi mnaropoka bila kufikiri wala bila kua na tafiti za kutosha?
Nchi hii ina bahati mbaya sana,tunaruhusu tuongozwe na vilaza watupu,watu kama mpango,mwigulu,Nape,Makamba,Livingstone lusinde,Turia akson,Ndugai,Samia,Kingai,Simon Silo,Unajiuliza mijitu kama hii inakuwaje viongozi!,Tena inanyenyekewa,inatumia pesa yetu vibaya,tunaihudumia yenyewe na familia zao,lakini hakuna wanachotoa kwa jamii zaidi ya makelele tu,Mtu kama Makamu wa Raisi,kitu gani kimoja Cha upekee amefanyia nchi hii,hakuna kabisa,sera ipi,inovation ipi katika utendaji wa serikali amefanya
 
Back
Top Bottom