R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Baada ya taarifa kutolewa na uongozi wa Crdb washiame au kufunga account zao CRDB kwenye vyombo vya habari,hali si shwari DG Kimei amekutana kwa faragha na makamu wa Rais Samia Suluhu ofisini kwake Jana.
Hii imetafsiriwa na wataalam kutokana na serikali kufunga account zake ; Benki itakayoathirika zaidi ni CRDB.
Na sababu zipo wazi;
Hii imetafsiriwa na wataalam kutokana na serikali kufunga account zake ; Benki itakayoathirika zaidi ni CRDB.
Na sababu zipo wazi;
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Uongozi wa Benki ya CRDB ulioongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Dkt. Charles Kimei wakati Uongozi huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Februari 03,2016 kwa lengo la kumuelezea kuhusu Banki hiyo itakavyoweza kusaidia wajasiriamali wadogo wadogo.