Makamu wa Rais, mama Samia yu likizo au yu wapi? Nimemmiss kweli mama yetu

Huyo Bimkubwa Sijawahi Kumsikia Akiongea Neno Lolote Baya Kuhusu Wapinzani. Huyu na yule jamaa Wa Ruangwa.

Sisi Wakanda tunasema Tunawapenda Sana.
 
Nadhani mwisho wa mwaka mh rais na baraza lake la mawaziri hujipa likizo na kwenda kutekeleza ile slogan ya KAZI NA BATA
 
Lakini mama Samia ni mzuri wa sura tena na hayo macho? Khaaa! Hivi alipokuwa msichana alikuwaje? Hivi hakuna mtu mwenye picha za alipokuwa msichana miaka kati ya 15 na 21 atuletee?
Hata hivyo kutokana na sura gumegume ya JIWE bora ukiangalia Mama yetu Samia unaingiwa na tabasamu.
 
unajisikiaje kumsifia mke wa mwanaume mwenzio namna hiyo?wako hakuridhishi?
 
Ndg kassim yupo busy kumsaidia mkuu kuhusiana na hili..
 
Attachments

  • tmp-cam--1857235084.jpg
    tmp-cam--1857235084.jpg
    7.7 KB · Views: 1
Kila January huwa anapotea kwa muda flani. Halafu huo wadhifa wa Makamu wa Rais ni ceremonial tu!
 
Back
Top Bottom