TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Ni leo 19 Desemba 2016
Kama ingekuwa haikuhusu wala usingesoma na kutoa komenti. Mbaya zaidi, unaweka mwamvuli wa fikra zako kwa watu wengine. Jisemee nafsi yako. Sema haikuhusu na sio haituhusu.Sasa sisi inatuhusu nini???
Nyie watu Mungu anawaona. Kipindi tunaomba Max afunguliwe hatukuona. Sasa hivi mmejaza utafikiri na nyumbu wa SERENGETIKama ingekuwa haikuhusu wala usingesoma na kutoa kumenti.
Tatizo huelewi mantiki ya ulichokifanya.
Mnaomba kwa nani? Nani alikuambia sheria inaombwa.Nyie watu Mungu anawaona. Kipindi tunaomba Max afunguliwe hatukuona. Sasa hivi mmejaza utafikiri na nyumbu wa SERENGETI
Hivi hoja yako ni ipi?Mnaomba kwa nani? Nani alikuambia sheria inaombwa.
Max amepata dhamana sio kwa sababu watu wa aina yako mliomba bali amepata dhamana kwa sababu ya takwa la kisheria.
By the way, kwani kuna watu ambao Mungu hawaoni?
Wewe ndio hujui mantiki ya kile unachokiandika.Hivi hoja yako ni ipi?
Sheria zipo kwa ajili ya Jamiiforums.com tu? Mbona website nyingine wamiriki hawajapelekwa mahakamani?
Mungu anawaonaaa
Avatar ni wewe? Samahani mkuu kwa kuwa nje ya madaheri amuhurumiae mjane na maskini
Ni leo 19 Desemba 2016
View attachment 448218
Inahusiana vipi na mada hii?Margareth Sitta alipokuwa M/kiti au sijui "raisi" wa chama cha walimu alikuwa machachari sana ila alipoteuliwa kuwa waziri wa elimu hakuweza kuboresha elimu wala maslahi ya walimu! Ni wale wale tuuuuuuu!!!