Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan: Nimefarijika Kutembelewa na Mama Margareth Sitta ofisini

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
Ni leo 19 Desemba 2016
2016-12-19 17.08.54.png
 
Nyie watu Mungu anawaona. Kipindi tunaomba Max afunguliwe hatukuona. Sasa hivi mmejaza utafikiri na nyumbu wa SERENGETI
Mnaomba kwa nani? Nani alikuambia sheria inaombwa.

Max amepata dhamana sio kwa sababu watu wa aina yako mliomba bali amepata dhamana kwa sababu ya takwa la kisheria ambalo limejengewa hoja na mawakili wake.

By the way, kwani kuna watu ambao Mungu hawaoni?
 
Mnaomba kwa nani? Nani alikuambia sheria inaombwa.

Max amepata dhamana sio kwa sababu watu wa aina yako mliomba bali amepata dhamana kwa sababu ya takwa la kisheria.

By the way, kwani kuna watu ambao Mungu hawaoni?
Hivi hoja yako ni ipi?
Sheria zipo kwa ajili ya Jamiiforums.com tu? Mbona website nyingine wamiriki hawajapelekwa mahakamani?

Mungu anawaonaaa
 
Hivi hoja yako ni ipi?
Sheria zipo kwa ajili ya Jamiiforums.com tu? Mbona website nyingine wamiriki hawajapelekwa mahakamani?

Mungu anawaonaaa
Wewe ndio hujui mantiki ya kile unachokiandika.

Hoja hapa ni Mama Samia kutembelewa na Mama Margareth Sitta. Wewe unaleta masuala ya Max. Mambo ya Max yanaingiaje kwenye hoja tunayoijadili.

Kwa hiyo ulitaka watu wasijadili masuala mengine kwa sababu hawakuomba Max apate dhamana. Mbaya zaidi, unatumia kigezo gani kufahamu kama watu fulani hawakuomba?

Nimekuambia watu wenye fikra pana hawawezi kupoteza muda kuomba katika suala la kisheria bali watapoteza muda kuchambua sheria na kuzijengea hoja kisheria.

Unashangaza sana.
 
Hii nayo ni habari? Kweli Tanzania ya viwanda iko mbali sana maana habari ilitakiwa iwe Samia na Magreth wafungua kiwanda
 
Margareth Sitta alipokuwa M/kiti au sijui "raisi" wa chama cha walimu alikuwa machachari sana ila alipoteuliwa kuwa waziri wa elimu hakuweza kuboresha elimu wala maslahi ya walimu! Ni wale wale tuuuuuuu!!!
Inahusiana vipi na mada hii?
 
Mungu akutie nguvu na ujasiri mama Sitta uhimili yajayo kwani wapo wengi wenye kuondokewa kama wewe.
 
kwa hiyo mama Sitta alienda kumfariji mama Suluhu? kwa lipi tafadhali? kusomeshwa namba?%$$%%^$^#$#%%^$%$#$
 
Nilidhani Mama Samia Suluhu Hassan ndiye amemtembelea Mama Magreth Sitta, kumbe ni kinyume chake.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom