Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichoketi Ikulu Chamwino, Dodoma

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,156
4,510
Hii ni taarifa rasmi kutokea makao makuu ya nchi Dodoma, Kikao hicho cha Baraza la Mawaziri kimefanyika leo na kuongozwa na Mama Samia.

2667547_20210115_143714.jpg
 
Hii ni taarifa rasmi kutokea makao makuu ya nchi Dodoma
Kikao hicho cha Baraza la Mawaziri kimefanyika leo na kuongozwa na Mama Samia
Safi sana ila tu aangalie mipaka ya mamlaka ya kukaimu.Aboud Jumbe alikaimu na akamuweka mtu kizuizini na ikawa shughuli.
Wanasheria tuwekeeni hii kesi hapa.
 
Safi sana
Rais anachapa kazi ikulu
Makamu wa rais yuko kwenye kikao cha baraza la mawaziri
Waziri mkuu anaendelea kusimamia shughuli za serikali na baraza la mawaziri

Mungu ibariki Tanzania
 
Baba ana office popote alipo ndani ya Tanzania ☺☺

Halafu kuna watu wananuna kwa hilo😂😂😂
Waeleze hao nyumbu waelewe. Hawajui kila mkoa na wilaya kuna ikulu ya Rais?" hawa jamaa bhana kha....
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom