Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichoketi Ikulu Chamwino, Dodoma

Kamati ya ufundi wa jadi unafanya yake huko Chattle, akitoka huko atakuja na kauli mpya ya kuzeekea kitini na wote tutasema 'ndiooo'.
 
Safi sana ila tu aangalie mipaka ya mamlaka ya kukaimu.Aboud Jumbe alikaimu na akamuweka mtu kizuizini na ikawa shughuli.
Wanasheria tuwekeeni hii kesi hapa.
Ni kweli ile ya Jumbe ilileta mgogor kidogo wa kisheria kwa vile makamo wa rais huwa hana mamlaka ya kutia watu kizuizini. Ila ilionekana kuwa wakati akiwa anakaimu nafasi ya rais, huwa hafanyi maamuzi kama makamo wa rais tena bali hufanya hivyo kama rais na kuwa na mamlaka yote ya rurais. Inatisha, kwa sababu wakati anapokuwa anakaimu anaweza kuamua kuwa rais aitwe kizuizini!
 
Thubutu, huyu ni kada 'fulani' anayetafuta connection 'fulani' kwa wala keki ya taifa.. Hana nyadhifa hiyo!

Au nasema uwongo proMagu? Here I go!

Mimi sio Ummy, ni mtanzania mwenye haki yangu kuamini kile ninachoamini kama ilivyo kwako kuamini kwenye unachoamini

Bado unaumia!? Ni vizuri ukiheshimu itikadi za wengine ili nawe uheshimiwe
 
Hii ni taarifa rasmi kutokea makao makuu ya nchi Dodoma, Kikao hicho cha Baraza la Mawaziri kimefanyika leo na kuongozwa na Mama Samia.

Nampongeza Rais Mhe. Dr. Magufuli kwa kumpa Makamu wa Rais Mhe. Samia nafasi ya kuendesha Baraza la Mawaziri mara kwa mara. Kuna Makamu wengine hawakuwahi kupata fursa hizo. Team work ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu ni kubwa Sana. Pia mihimili yote inafanya kazi kama siafu! Big up Rais Magufuli baba lao!
 
Sio kweli, ofisi anazofanyia kazi ni za umma na si zake kama unavyojiaminisha.
Sema ukweli,Mzee Baba anachemska kwa kila afanyacho.Katiba inaeleza kuwa Rais ndiye Mwenyekiti wa Baraza LA Mawaziri,sijawahi kuona kifungu kinachompa Makamu jukumu hill.Naweza kusahihishwa.
 
Back
Top Bottom