MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Ukweli usiofichika tumepata makamu wa rais mama samia ni mtu mwenye busara ,hekima na maarifa hana kauli mbaya kwa wananchi anaowatawala kama rais mfano makamu wa rais wewe ndoo ungetakiwa kwenda kagera kuwafariji wahanga wa tetemeko hakika wangepata faraja sana zaidi ya aliyeenda .
Makamu wa rais umeshindwa kumshauri rais magufuli kwa busara zako na maaarifa yako kuwarudisha kazini vijana 3000 walioajiriwa na serikali mwezi june 2016 na walisainishwa mikataba yote ya kazi na walianza kufanya kazi baadae walisimamishwa kazi kwa kigezo cha uhakiki wa watumishi hewa walipouliza walijibiwa kuwa uhakiki ukiisha watarudishwa kazini Mara moja uhakiki umeisha lakini hawajarudishwa kazini sasa hivi wamekaribia maliza mwaka mzima wapo nyumbani na walitumia gharama nyingi kwenda kwenye usaili ,kwenda kuripoti kazini kupanga vyumba na kuripitia kodi za vyumba na kusafirisha mizigo yao kama hamuamini hili swala waulizeni maafisa utumishi wa mahakama zote Tanzania maana kati ya kundi liliorudishwa ni pamoja na mahakimu walioajiriwa kada ya mahakama nk je ? Makamu wa rais mama samia umeshindwa kumshauri rais ? Kwenye suala hili atumie usitarabu ?
Mama samia umeshindwa kumshauri rais atoe waraka wa kuruhusu ajira kutoka kwenye taasisi za umma mpaka sasa tuna mwaka mzima na sehemu ajira bado kitendawili je ? Mama samia mmeshindwa kumshauri rais ?
Kuhusu rambi Rambi za wana kagera mama samia ulishindwa kutumia ustarabu hekima zako kumshauri rais aweze kuwasaidia wana kagera ?