Makamu wa Rais kuongoza mazishi ya Balozi Mahiga kesho Iringa

Siku wapinzani mkielewa kwamba jiwe ni mwepesi kama tishu

Ataondoka madarakani haraka sana zile mbwembe za kuzima bunge, kuwaweka ndani na kuwapiga risasi

Halafu anakimbia mafua ni dalili tosha kuwa Rais ana hofu sana na ni muoga anaogopa kufa na ndio sifa za madicteta.

Siku nchi ikivamiwa sijui itakuwaje duh!
Nchi ikivamiwa? Hapo mtamkuta nyumbani kwa M7 mvunguni mwa kitanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watadisinfect kila kitu. Na wao hawafanyi haya kichwa kichwa. Wanachukua tahadhari.
 
Watadisinfect kila kitu. Na wao hawafanyi haya kichwa kichwa. Wanachukua tahadhari.
Mkusanyiko unasambaza Corona. Labda itokee pasiwepo na aliyeambukizwa kitu ambacho kwa sasa kwa Tanzania kukipata kwenye mkusanyiko mkubwa ni ndoto ya mchana.
 
Mahinga hakika umetumia lengo na makusudi ya kuishi hapa duniani kama zawadi kwa Mungu!
Pumuzika mahiga pumuzika kiongozi
Tangulia mzee wetu.
 
Dah! Atangulie kwa Amani Baba wa watu alikuwa mstaarabu wa muda wote

Ila Tanzania hatuna vyombo vya habari.

Nimeangalie BBC Swahili leo, wamemuelezea hadi machozi yamenitoka.

Kwa kweli kama kuna kiongozi alitilia mashaka ushauri wa huyu nguli wa diplomasia hadi akaamua labda kumuhamisha wizara, dhambi zake hazisameheki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni....
Kuna mzee mmoja niko naye hapa kwenye Kijiwe chetu cha mambo yetu tunapiga mmbo yetu
Anasema alisoma naye mtokasamanga Enzi hizo
List anayenitajia ni cream tupu duh
Mzee ngwandu Ndani etc
Ngoja tuendeleee kupiga kvant mkao ni wa mita kadhaa hpa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan kesho, Mei 2, 2020, ataongoza mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Augustine Mahiga, aliyefariki dunia leo. Dkt. Mahiga mwanadiplomasia mkongwe aliyeitumia nchi kwa weledi, atazikwa alasiri Tosamaganga, Iringa.

View attachment 1436857
Oh huyu mama kumbe bado yupo? Nishamsahau walah.
 
Protokal mazishi kuongozwa na makamu wa Rais, itavutia umati mkubwa. Ni vyema utolewe muongozo wawakilishi wachache wakiongizi VP Mama Samia.Pumzika kwa amani mzee Maiga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wetu ameshindwa kabisa kwenda kumsindikiza huyu Waziri wake Mwandamizi kwenye safari yake ya mwisho? Ana udhuru wa namna gani? Kwa Jaji Augustino Ramadhan kashindwa kwenda na kwa Mahiga tena? Kuna kitu hakiko sawa.
Hata mimi sijui!
 
Siku wapinzani mkielewa kwamba jiwe ni mwepesi kama tishu

Ataondoka madarakani haraka sana zile mbwembe za kuzima bunge, kuwaweka ndani na kuwapiga risasi

Halafu anakimbia mafua ni dalili tosha kuwa Rais ana hofu sana na ni muoga anaogopa kufa na ndio sifa za madicteta.

Siku nchi ikivamiwa sijui itakuwaje duh!
SMH, naomba siku msije makajiona wajinga na wakatili kwa maneno kama haya.
 
Back
Top Bottom