Makamu wa rais dr bilal ashuhudia nguvu ya chadema jimbo la iringa mjini

ila kwa kweli ccm inaonewa sana, yan mpak wamebaki na mbinu ya kuiba kura, kila kona kichapo cha mbwaa mwizi
 
Kila sehemu hii salamu inakamata watu sana yaani ukisema tu peoples!! Hata kwa sauti ya chini utasikia watu power!! Yaani ni raha hadi basi watu wanaipemda CDM sana tujitahidi tuwaondoe wafitini tu kwa namna iwayo yoyote ili kibaki chama na watu wenye moyo wasio wanafiki, maana ccm ni kama shetani kutwa anapambana na watoto wamMungu yumkini hujaribu kujifanya malaika wa Nauru ili mradi awanase wateule.
 
Magamba wanatapatapa lakini hilo halitawazuia kufutika kwenye uso wa Tanzania--siku zao za kupumua zinahesabika.
 
Magamba wanatapatapa lakini hilo halitawazuia kufutika kwenye uso wa Tanzania--siku zao za kupumua zinahesabika.

Yaani,kama vile yapo kwenye pipa linalochemka maji. Shida tupu,washukuru msaada wa policcm.
 
Natoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa makamu wa rais wa JMT kwani sijawahi kumsikia akijibishana wala kuinanga cdm popote pale,maana anajua kazi wanayofanya chadema na yeye pia ilibakia kidogo tu achomoke ccm na kuanzisha chama chake kama wangemtosa kumpa cheo hiki na ndiyo maana yupo bara ila zenji wanazijua pilikapilika zake huyu mtaalamu wa nyukilia,he is smart more than we think sema ukiwa ccm sijui akili huna zinakuwaje
 
amesoma ALAMA ZA NYAKATI .
 
Back
Top Bottom