Kanzastone
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 244
- 355
- Thread starter
- #41
Nashukuru kwa kuelewa.Aisee!!! Nimekuelewa.
Kwakweli ukiwa Kiongozi Mwenye dhamana Unatakiwa kuwa makini sana na wasaidizi wako kwasababu wengine watakuwa wanakuletea taarifa ambazo sio za ukweli zenye fitina, ubinafsi na kukomoana na kujikuta unachukuwa maamuzi ya kuhamisha watumishi wenye weledi na kuacha wabovu.
Kwasababu ya kukosa vision afande amekuwa akiwaondoa wafanyakazi wenye kutenda kazi kwa weledi na kuwapeleka kwenye taasisi zingine kupitia uchochoro wa Menejimenti ya Utumishi wa Umma kwa Dr. Laurean Ndumbaro au kuwafukuza kabisa bada ya kupata taarifa ya majungu kutoka kwa watu wake. Halafu badae afande anawaomba tena Utumishi wamtafutie watu wengine bila kuelewa kuwa kutakuwa na learning curve ya muda mrefu kwa hao wageni na hivyo kupelekea kuathiri utendaji.
Wewe umeona wapi, siku hiyo Mh. Makamu wa Rais anauliza mbona ufanisi ni mbovu wa hii taasisi eti Menejimenti inajibu kuwa inajitahidi kuboresha na tayali wamefukuzwa watumishi zaidi ya 20, serious!!, badala ya kumweleza Mh. Makamu wa Rais mikakati iliyopo eti wanazungumzi juu ya kufukuza kazi watumishi.
Tulikuwa tunaitegemea Board ya Wadhamini chini ya Uenyekiti wa Fatuma Mrisho kwamba watasaidia kumdhibiti huyu afande lakini ndo kwanza hamna inachokifanya, hii Bodi imekuwa ni mzigo!!
Hii Bodi ilikuwa corrupted tangu wakati wa Bwanakunu na Victoria Elangwa akiwa Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala. Bodi hii ilikuwa totally corrupted na kushindwa kufanya kazi ambazo imekuwa entrusted na Rais wa nchi na hata wafanyakazi wamekosa pa kukimbilia in case kunakuwa na masuala ya nidhamu. Bodi haijawai kukutana na wafanyakazi tangia iundwe mwaka 2017, hii Bodi ni mzigo na kimeo tangia wakati wa Victoria Elangwa na Bwanakunu, haijui wajibu wake!!!