Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Wabunge wa upande wa pili (CHADEMA, ACT na CUF) ni vema mkajiunga CCM ili kwa pamoja tujenge nchi

Nimeona Lissu leo amejipanga kuchafua nchi.

Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.

Ni aibu kubwa kwa taifa letu

Lisu ni makamu mwenyekiti hewa wa Chadema mnalipa mshahara wa bure.
Kwa hiyo CCM imekosa wa kuitetea imekodi Mkenya?
 
Umesahau adui mkubwa na wa kwanza wa Tanzania sasa ni CCM. Mosi, wanataka watu wote tuwe wapumbavu na mataahira ili ifike wakati wakisema kwetu Tanzania jua linatoka masgharibi na kuzama mashariki tuimbe wimbo huo huo bila kujali ukweli (Kwa mantiki hiyo, CCM inatamani wakati wote watu wawe wajinga). Pili, wanatamani watu wengi wawe maskini hohe hahe ili kiongozi wao akiwagawia hata shs. 10,000 wamwabudu badala ya Mungu wetu wa kweli, ndiyo sababu wakajiita watetezi wa wanyonge. Kwa nini kuwe na wanyonge katika nchi iliyopata uhuru miaka takriban 60 iliyipita.
Kwa hiyo CCM ni adui namba 1 wa nchi hii
Naunga mkono hoja
 
Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania.

Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi ya kimaendeleo kwa mama Tanzania na siyo vinginevyo.

Chanzo: TBC.

Maendeleo hayana vyama!
Mpango as he is; a political novice. Nani alimwambia maendeleo ni kusema ndio pekee Bungeni?
 
Nimeona Lissu leo amejipanga kuchafua nchi.

Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.

Ni aibu kubwa kwa taifa letu

Lisu ni makamu mwenyekiti hewa wa Chadema mnalipa mshahara wa bure.
ule ni mdahalo. VOA hawakuandika kuchafua nchi
 
Wale waliokua wanampangia Rais Samia Suluhu Hassan cha kufanya nadhani tumeshaelewana🤣👍💪

Tanzania iko imara sana😍🇹🇿♥️

Alale salama kipenzi chetu John Pombe Magufuli 🙏
Hujawahi kumwita mmeo kipenz leo unamshobokea mume wa mama janeth tena marehemu.
 
CCM mtapata aibu kabla ya 2025. Na kabla ya 2025 tutafanya uchaguzi mkuu. Walio hai watashuhudia hali itakavyokua mbaya ndani ya nchi hii.Hifadhini haya.
 
Is it only me or someone feels Dr.Mpango is sick every time he speaks.
It's like the old man is cold always!
 
Kifo ni haki ya kila kiumbe chenye uhai, ukiwemo wewe na mimi. Kumwita Lissu msaliti ni kupungua uelewa wa maana halisi ya neno usaliti. Ni sababu ya ulaghai wa MATAGA wakihanikisha ufinyu wa uelewa na ujazo wa ujinga vichwani mwao. Uwasamehe
Kwa hiyo wewe ni mwelewa? Umemsikiliza msaliti Lissu anavyoumbuliwa leo na Lumumba?
 
Back
Top Bottom