Tanganyika Kwetu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 222
- 175
Umesahau adui mkubwa na wa kwanza wa Tanzania sasa ni CCM. Mosi, wanataka watu wote tuwe wapumbavu na mataahira ili ifike wakati wakisema kwetu Tanzania jua linatoka masgharibi na kuzama mashariki tuimbe wimbo huo huo bila kujali ukweli (Kwa mantiki hiyo, CCM inatamani wakati wote watu wawe wajinga). Pili, wanatamani watu wengi wawe maskini hohe hahe ili kiongozi wao akiwagawia hata shs. 10,000 wamwabudu badala ya Mungu wetu wa kweli, ndiyo sababu wakajiita watetezi wa wanyonge. Kwa nini kuwe na wanyonge katika nchi iliyopata uhuru miaka takriban 60 iliyipita.Tuendelee kumkumbusha Dr. Mipango kuwa adui wa Tanzania ni wale wale; Ujinga, Maradhi na umasikini wala si Upinzani. Aache kujitoa ufahamu.
Kwa hiyo CCM ni adui namba 1 wa nchi hii