Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Wabunge wa upande wa pili (CHADEMA, ACT na CUF) ni vema mkajiunga CCM ili kwa pamoja tujenge nchi

Mbona wameshajiunga wengi tu na waliokataa wakanyimwa ushindi anataka watu gani tena maana hata hao waliomo bungeni ni wenzao ndiyo maana hata kura hakuna iliyomkataa kwa hiyo asiwe na wasiwasi
Atakuwa bado hajapona vizuri ule ugonjwa wake wa kupumua kwa 100% bila shaka.

Haiwezekani mtu mzima wa kiwango cha PhD, hajui umuhimu wa upinzani Bungeni na pia katika nchi za Jumuiya ya Madola.
 
Yaani CCM hamtaki kabisa Demokrasia ya vyama vingi. Kwa wingi wenu bungeni hebu shaurini marekebisha ya Sheria, futeni vyama vingi
Sio ccm, sema watanzania hawakai vyama vingi, kwa sababu tayari democrasia ilikuwepo kabla ya vyama vingi, ndio maana hata kwenye tume ya maoni ya mhe jaji Francis nyalali 1991/92, asilimia 80 walikataa vyama vingi, lkn kwa busara ya ccm wakasema acha tuvunje ile kanuni ya wengi wape, ccm ikaruhusu mfumo wa vyama vingi huku watanzania walio wengi walikataa,
 
Yaani CCM hamtaki kabisa Demokrasia ya vyama vingi. Kwa wingi wenu bungeni hebu shaurini marekebisha ya Sheria, futeni vyama vingi
Hili ni wazo jema. Bora turudi kwenye mfumo wa chama kimoja badala ya huku kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa. Wakati ukifika na chama kikiridhika kuwa kuna uwezekano wa vyama vya upinzani makini basi kinaweza kurudisha mfumo wa vyama vingi. Sasa hivi tuungane katika chama kimoja tulijenge taifa letu.

Amandla...
 
Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania.

Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi ya kimaendeleo kwa mama Tanzania na siyo vinginevyo.

Chanzo: TBC.

Maendeleo hayana vyama!
Makamu aagize Bunge liifanye Tanzania Nchi ya Chama kimoja
 
Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania.

Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi ya kimaendeleo kwa mama Tanzania na siyo vinginevyo.

Chanzo: TBC.

Maendeleo hayana vyama!
Hana akili.
Upinzani sio majina.
Upinzani upo moyoni, huwezi kukubaliana na mtu huku wewe unapigika.
Yaani wana ikata 15% kindezi agu nianze kuwashangilia?

Wanan’gatwa nini
 
Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania.

Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi ya kimaendeleo kwa mama Tanzania na siyo vinginevyo.

Chanzo: TBC.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa unyenyekevu niseme tu.....
Wrong start....
Woote hatuwezi kuwa na mawazo yenye kufanana.
Vyama vya upinzani ni kama watch dog wangesikilizwa yoote haya yanayojiyokeza sasa hivi yasingetokea.
 
25

Chadema...... 20

ACT wazalendo...... 4

CUF......... 1

Maendeleo hayana vyama!
Sasa hao 25 ndio anaotaka wakajiunge CCM ili iweje?
Natamani asisitize uzalendo kwao, kwamba wapinzani wajenge hoja zitakazosaidia serikali kujikosoa na kujirekebisha. Hoja za namna hii najua wapinzani wameziibua sana kabla ya uchaguzi wa 2020. Angesisitiza hoja kama hizi zirudi. Kuwataka wajiunge CCM ni kujikosesha fursa ya constructive criticism ambayo wanaCCM hawataweza kuifanya kutokana na misimamo ya chama na kuogopa kufukuzwa uanachama.
 
Nimeona Lisu leo amejipanga kuchafua nchi .

Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.

Ni aibu kubwa kwa taifa letu

Lisu ni makamu mwenyekiti hewa wa Chadema mnalipa mshahara wa bure.
Kiasi gani
 
Meko alimj
Kwa unyenyekevu niseme tu.....
Wrong start....
Woote hatuwezi kuwa na mawazo yenye kufanana.
Vyama vya upinzani ni kama watch dog wangesikilizwa yoote haya yanayojiyokeza sasa hivi yasingetokea.
e
Kwa unyenyekevu niseme tu.....
Wrong start....
Woote hatuwezi kuwa na mawazo yenye kufanana.
Vyama vya upinzani ni kama watch dog wangesikilizwa yoote haya yanayojiyokeza sasa hivi yasingetokea
Meko alimharibu kuchukia wapinzani.

Yaani eti linalalama bajeti yake kupigwa.
Yaani litamaa ni bata kabisa.
Hawa watu wasio na staha wanafikaje fikaje kule juu?

Yaani vP anashangaa upinzani kuikataa bajeti ya fedha?
Bajeti ambayo inamkata mtu 15%
Mikodi kibao inaumiza wafanya biashara?
Inakwapua pesa ya korosho.
Yaani VP ni tambara. 🗑
 
Lisu ni mgonjwa wa akili na kilaza mkubwa
Hamna shida. But he survived to tell the tale. And the accused for ordering or blessing or indicating the assassination attempt will not be able to follow the talk ya kilaza na mgonjwa wa akili. Mungu fundi
 
Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania.

Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi ya kimaendeleo kwa mama Tanzania na siyo vinginevyo.

Chanzo: TBC.

Maendeleo hayana vyama!
Kama ameanza siasa za hivyo ameanza vibaya. Upinzani upo kwa kujibu wa katiba.

Upinzani ni mijini sana katika nchi ya kidemokrasia. Watanzania wenye akili wanaelewa vizuri jambo hili.

Bila upinzani,tutatengeneza tanaka la watawala miungu watu! Hatutaki halo hiyo.
 
Hamna shida. But he survived to tell the tale. And the accused for ordering or blessing or indicating the assassination attempt will not be able to follow the talk ya kilaza na mgonjwa wa akili. Mungu fundi
Which tale have told you?
 
Vyama magumashi ambavyo mnaamini havina uwezo wa kuwanyang'anya madaraka hamvitaki halafu bila aibu unasema mtakubali vyama vya upinzani vyenye uwezo wa kuwanyang'anya madaraka? Sijui Watanzania mnawaonaje.

Amandla...

Msipobadilika mkaacha kujenga vyama vya ulaji na kujenga vyama vyenye misingi imara kwa wananchi mtaendelea kulialia hadi mwisho wa dunia

Btw upinzani imara ni kitu kizuri sana kwa maslahi ya taifa
 
Hizi Sarakasi na Maigizo si bora tu wangevunje vyama vingi kielekeweke kuliko kuchezea hizi kodi zetu...

Mpaka sasa kuna Vyama vingi kwenye kinadharia tu
 
Msipobadilika mkaacha kujenga vyama vya ulaji na kujenga vyama vyenye misingi imara kwa wananchi mtaendelea kulialia hadi mwisho wa dunia

Btw upinzani imara ni kitu kizuri sana kwa maslahi ya taifa
Hebu fikiria hawa Ufipa mwenyekiti yuko Dubai, makamu wake yuko Ubelgiji hapa kabakia J J Mnyika kwa hisani ya Nyalandu!
 
Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania.

Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi ya kimaendeleo kwa mama Tanzania na siyo vinginevyo.

Chanzo: TBC.

Maendeleo hayana vyama!
anasahau hata mitume na manabii walikuwa na wapinzani achilia mbali Mungu mwenyewe Ila snc yy analipwa mshahara na posho basi limtokalo kwake ni halali
 
Back
Top Bottom