Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,124
- 3,681
Kutokana na ziara ya Makamu wa Rais, Philip Mpango ni kwamba fedha za dawa zinazoenda Bohari ya madawa hazitumiki vyema.
Mkurugenzi wa pale ni mjeshi, nae ameingia kwenye mkondo kama yule wa mwanzo wa ubadhilifu, msd kuna nini lakini ?au nacho hiki ni kivuli cha mwendazake ?
Wananchi tuone sasa shida ipo katika mfumo wa chama tawala.
CCM itoke madarakani vinginevyo tunapoteza muda. Miaka 50 ya uhuru hakuna dawa za msingi.
Kubwa zaidi makamu anasema bohari ya madawa iwe na viwanda vya madawa. Mungu wangu Wanaojua tafsiri maana yake ni Bohari ya madawa haijui inafanya nini na inataka kufanya nini na imeshapoteza muelekeo .
Je viwanda vya madawa ni jukumu la Bohari ya madawa au wizara husika ya viwanda?
Hii inaonyesha bohari imeshakufa.