Makamu wa rais bado analilia misaada, tutafika kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamu wa rais bado analilia misaada, tutafika kweli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by lifeofmshaba, May 11, 2011.

 1. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  TANZANIA imetoa mwito kwa nchi tajiri kutambua nafasi yao katika kuzikwamua nchi masikini ili zikuze uchumi wake na kuwasaidia wananchi katika nchi hizo.

  Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal aliyasema hayo wakati akihutubia Mkutano wa Nne wa Umoja wa Mataifa (UN) unaojadili maendeleo ya nchi masikini unaofanyika nchini Uturuki.

  Dk. Bilal alisema mataifa masikini yametekeleza mambo mbalimbali ambayo yameshauriwa na mataifa makubwa sambamba na mashirika ya kimataifa, lakini kikwazo kimebakia katika nafasi za mataifa makubwa kutimiza ahadi zao ili kuzikwamua nchi maskini kutoka katika hali zilizomo


  MAONI YANGU: mpaka sasa hapa Tanzania wajanja wameshakwapua zaidi ya Trl 2, toka tulipoanza kupokea misaada inakwenda wapi? hizo hela anazolilia tupewe anajua zinapokwenda? umasikini wetu chanzo chake ni ndani ya nchi zetu, mikataba bomu na ufisadi ni nchi gani ya kutoza kodi wananchi wake na kutuletea sisi mahela ya bure? mwaka jana uingereza walifanya CUT (kupunguza matumizi ) lakini na walisema pesa wanatailenga katika maeneo muhimu tu,

  kilichonishangazi ni kwamba misaada katika nchi masikini iliongezwa!!!!!! na hapo raia wao wana hasira na maisha magumu, lakini hakuna aliyekuwa analalamika kuhusu hiyo misaada kwenda nchi masikini, maana wanajua vizuri return ya hiyo misaada.
  na kama serikali itaendelea kutegemea misaada, tutamalizwa na terms za hiyo misaada.
  sisemi nchi isipokee misaada lakini sio kufikia hatua kulilia misaada
  lakini pia mimi ningemshauri makamu wa rais kukomesha magamba maana wao ndio chanzo kikubwa cha umasikini uliokisithili, mbona wenzetu KENYA misaada sio kitu kwao na haitaki

  source
  http://www.habarileo.co.tz/kitaifa/?n=16987
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Dah nilishasahau, kumbe tz tuna makamu wa rais? Huyu ndo miongoni mwa mbwa wazee wasio na meno wala hawana madhara!
   
 3. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  duh, kumbe ndio maana nawaombea misaada wenye meno watafune

   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Sijaona impact nzuri ya huyu babu kwenye utendaji, mara ya mwisho nilimsikia alipokwenda mbuga za wanyama na wakeze wawili kutanua, baada ya hapo hola labda tusubiri maulid nyingine ndo atakuja kuahidi mahakama ya kadhi kama kawaida yake!
   
 5. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mimi nadhani yuko kwenye MGOMO baridi baada ya kudhulumiwa kiti cha huko zanzibar,
  na kumchomekea shein maana alikuwa anaelekea kutemwa na system 2015,
  lakini kwa sasa walau 2020 hapo zanzibar kwenye ka-uraisi

   
 6. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  huyu babu :evil::evil::evil::evil:
   
Loading...