Makamu wa rais azindua kongamano la 8 la mwaka la wataalamu wa ununuzi na ugavi

Sodium 23

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
471
484
Muda wa takribani nusu saa iliyopita Makamu wa rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri wa fedha na mipango wameonekana wakitoka ukumbi wa mikutano AICC wakiwa kwenye msafara usiozidi magari sita.

Combination hii inaweza kuwa ni dalili njema ya ufunguzi wa miradi hasa ya ujenzi miundombinu ukizingatia kuna ujenzi wa miradi mingi ya barabara mfano Mianzini Timolo na miradi mingine.

Kwa mwenye "classified information" atujuze tafadhali

======

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kongamano la 8 la Mwaka la Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi lililofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha (AICC). (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Sehemu ya Wahudhuriaji wa Kongamano la 8 la Mwaka la Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa Ufunguzi wa Kongamano hilo lililofanyika kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa Arusha. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 
Kama na waziri wa fedha, basi kuna kitu au mtu ananunuliwa huko
 
Muda wa takribani nusu saa iliyopita Makamu wa rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri wa fedha na mipango wameonekana wakitoka ukumbi wa mikutano AICC wakiwa kwenye msafara usiozidi magari sita.

Combination hii inaweza kuwa ni dalili njema ya ufunguzi wa miradi hasa ya ujenzi miundombinu ukizingatia kuna ujenzi wa miradi mingi ya barabara mfano Mianzini Timolo na miradi mingine.

Kwa mwenye "classified information" atujuze tafadhali
SUBIRI TAARIFA RASMI.MBONA IMEKUWA NCHI YA UMBEA UMBEA TU!
 
Back
Top Bottom