Elections 2010 Makamu wa Rais awe NANI?

Msharika

JF-Expert Member
May 15, 2009
947
69
Wapendwa wan JF wenzangu, nimesoma gazeti moja la nyumbani TZ nikachanganyikiwa, kwanza kusikia makamu wa rais mzee wetu Dr Shein anakwenda kugombea urais zanzibar. Hilo pia nikaishia kukubali kuwa ni wazo lake kuwa rais.
HOJA YANGU YA MSINGI HAPA NINAYOOMBA MICHANGO YENU NI HII; Kipindi cha miaka mitano ya Mungwana tumeona madudu ya kutisha na ombwe kubwa la uongozi, Ufisadi, wizi na matumizi mabaya ya ofisi za umma.
Nani anapaswa kuwa makamu wa rais next 5yrs? nadhani kwa kina awe na sifa zifuatazo,
1. Asiwe ni mtu mwenye ukaribu na mafisadi papa,(This outsmart, Zakhia meghji)
2. Awe ni visionary persoanality na mwenye staha ya uongozi (It calls upon Dr Salm ahmed salim)
3. Asiwe mtu mlaini katika kupewa habari bali afuatilie(outsmarts Karume)
4. Should have intergrity in work records(Dr Salim is called for).

Kwa vigezo hivi vichache nadhani aliyekomaa ili aweze kumwamsha rais ni Dr Salim, lakini mafisadi watakubali kukatiwa mirija yao?
Tukisema inawezekana tutaweza na tusibaki nyumba , tuchambue mambo hapa.
 
Swali zuri sana kwa wana CCM...! Nafikiri kwao ni yule anayeweza kutetea maslahi ya chama na kuwa kivuli ili asimfunike Presidaa kwa maneno na vitendo!
 
Kikatiba hauwezi kumpata makamu wa raisi umtakae kwa kuorodhesha sifa. Hii ni kwa sababu ya kazi ya makamu wa raisi kikatiba na pia labda kiutamaduni.

Mkuu mtu yoyote akiitwa "makamu" ina maanisha "deputy" au "Vice" kwa maana ni mtu anaye fanya anacho agizwa na mkuu wake wa kazi in this case raisi wa nchi. Kama makamu wa raisi hana madaraka makubwa ya maamuzi binafsi bali kuna shuguli chache anazo pewa asimamie na vingine vyote ana fanya kwa kadri atakavyo agizwa na raisi wa nchi. Kwa hiyo basi kama hali ni hiyo hata makamu wa raisi awe mtu fulani mwenye sifa fulani bado akatua chini ya kivuli cha raisi. Tofauti na waziri mkuu, makamo wa raisi hana independence kubwa.
 
Cha maan ni kwamba === awe chaguo la wazanzibari na si vinginevyo!!!
 
Makamu wa Rais atakuwa Mu-Unguja pengine kati ya wafuatao:
1. Dr Hussein Mwinyi
2. Dr Amani Abeid Amani Karume
3.Shamsi Vuai Nahodha
4. Mohamed Seif Khatib
SAS anaweza kupewa nafasi endapo Dr AM Shein ataangushwa kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa Zanzibar.
 
Mmh, kale kamama kachapa kazi wewe, katafanya mambo makubwa bure. Kwa viongozi wetu wengi wa Kiafrika hauhitaji kuwa na msaidizi wa aina hii. Ila si anagombea ubunge?
Kamama haka sio KaZanzibari hakawezi kuwa Makamu wakati Rais ni JK.
 
Kama suala la mgombea binafsi litapatiwa ufumbuzi kabla ya uchaguzi mkuu, makamu wa raisi nitakuwa mimi
 
tibajuka z da best
kwan issue ni geographical position au ni utendaji wa mtu?awe mtanzania tu au sio?
kule mi sjaona i do respect that anna tibaijuka ..sinaga utamaduni wa kupiga kura lakin uyu mama akipewa chans ningenda na mimi kupiga kura!!!!
 
Makamu wa Rais atakuwa Mu-Unguja pengine kati ya wafuatao:
1. Dr Hussein Mwinyi
2. Dr Amani Abeid Amani Karume
3.Shamsi Vuai Nahodha
4. Mohamed Seif Khatib
SAS anaweza kupewa nafasi endapo Dr AM Shein ataangushwa kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa Zanzibar.

6. Bi Kidude!!
 
Hili ni HITAJI la KIKATIBA jamani. JK akiendelea kuwa Rais Makamu wake atatoka Zanzibar. Mambo madoogo kabisa haya!
 
Wapendwa wan JF wenzangu, nimesoma gazeti moja la nyumbani TZ nikachanganyikiwa, kwanza kusikia makamu wa rais mzee wetu Dr Shein anakwenda kugombea urais zanzibar. Hilo pia nikaishia kukubali kuwa ni wazo lake kuwa rais.
HOJA YANGU YA MSINGI HAPA NINAYOOMBA MICHANGO YENU NI HII; Kipindi cha miaka mitano ya Mungwana tumeona madudu ya kutisha na ombwe kubwa la uongozi, Ufisadi, wizi na matumizi mabaya ya ofisi za umma.
Nani anapaswa kuwa makamu wa rais next 5yrs? nadhani kwa kina awe na sifa zifuatazo,
1. Asiwe ni mtu mwenye ukaribu na mafisadi papa,(This outsmart, Zakhia meghji)
2. Awe ni visionary persoanality na mwenye staha ya uongozi (It calls upon Dr Salm ahmed salim)
3. Asiwe mtu mlaini katika kupewa habari bali afuatilie(outsmarts Karume)
4. Should have intergrity in work records(Dr Salim is called for).

Kwa vigezo hivi vichache nadhani aliyekomaa ili aweze kumwamsha rais ni Dr Salim, lakini mafisadi watakubali kukatiwa mirija yao?
Tukisema inawezekana tutaweza na tusibaki nyumba , tuchambue mambo hapa.

unakuwaje na makamu wa rais visionary wakati rais yuko short sighted!!!!! it doesnt make sense..mi nadhani hata mkuchika anafaa
 
any body can be a vice president so long is hailing from tannzania island. this is not a big issue so long there are more than one million in isles he/she can be picked easily.
 
Makamu wa Rais atakuwa Mu-Unguja pengine kati ya wafuatao:
1. Dr Hussein Mwinyi
2. Dr Amani Abeid Amani Karume
3.Shamsi Vuai Nahodha
4. Mohamed Seif Khatib
SAS anaweza kupewa nafasi endapo Dr AM Shein ataangushwa kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa Zanzibar.

It would be very surprising iwapo SAS atakubali kujiingiza kwenye mambo haya. KInachohitajika ni kufagia kwanza uchafu wote ulio ndani ya CCM ngazi ya Taifa - i.e Central Committee ndipo mtu makini na safi kama Salim aweze ku-fit in.
 
Rais wa Zanzibar hawe pia makamu wa raisi wa Tanzania na hapo itatusaidia kupunguza gharama za sasa zinazo kwenda kwa makamu wa raisi.Raisi wa zanzibar aongezewa kidogo tu hela kwa fungu lake na hela itayobakia kutoka nafasi ya makamu wa raisi ya zamani zipelekwa kwenye sekta ya afya na elimu.

hapo tutakuwa tumemuongezea kazi raisi wa zanzibar ambaye mara nyingi sioni kama wana kazi nyingi au umuhimu wowote na tutakuwa tume punguza gharama za sasa kwa makamu wa raisi ambaye nao mara nyingi wapo wapo tu.

ni maoni yangu tu wakuu na niko open kufahamishwa kwamba hilo swala haliwezekani.
 
Back
Top Bottom