Makamu wa Rais aongoza baraza la Mawaziri, asante awamu ya tano

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Siku zote hiki cheo kama vile kile cha Katibu Mkuu Kiongozi nilikuwa sikielewi mpaka Awamu ya tano ilipoingia, sasa nimeanza kwa nini anaitwa Makamu wa Rais.

Pichani Makamu wetu wa Rais akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Dar.
IMG_4586.JPG
 
Muakilishi kutoka zanzibar makaazi yake na shghuli zake zipo tanganyika.
 
Wapi Dr Bilaliii...yule mzee hata kuongea ilikua tatizo. Hongera mama
 
Hebu ngoja nikasome katiba ya JMT kama huyu mama anaruhusiwa kuwa mjumbe kwenye vikao vya baraza la mawaziri!
 
Back
Top Bottom