Makamu Wa Rais Akutana Na Kibanda

mukizahp2

JF-Expert Member
Jul 28, 2012
706
377
2_7b5b3.JPG

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mhariri wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, AbsalomKibanda, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 10, 2013 kwa mazungumzo. Kibanda alimtembelea Mhe. Makamu ili kumwelezea hali yake kiafya inavyoendelea baada ya matibabu. Picha na OMR

Wanaongea nini, au serikali inaomba msamaha?
 
Pole Kamanda tunashukuru kwa Muujiza wa MUNGU kwako, karibu nyumbani, tuendelee kukuombea na kujiandaa na mapambano ya kuitafuta haki na ukweli ili AMANI idumu.

MUNGU akupe uponyaji wa haraka na afya njema.

Tuko pamoja na wewe KAMNDA wetu
 
Njaa zitaimaliza tasnia yard habari, polisi walikataa Kutoa ushirikiano juu yard kuteswa kwake Leo anaenda kumueleza makamu wa rais hali yake,
Hivi dry Bilal ndie daktari wa
 
Njaa zitaimaliza tasnia yard habari, polisi walikataa Kutoa ushirikiano juu yard kuteswa kwake Leo anaenda kumueleza makamu wa rais hali yake,
Hivi dr Bilal ndie daktari wake
 
Njaa zitaimaliza tasnia yard habari, polisi walikataa Kutoa ushirikiano juu yauteswa kwake Leo anaenda kumueleza makamu wa rais hali yake,
Hivi dr Bilal ndie daktari wake
 
Njaa zitaimaliza tasnia yard habari, polisi walikataa Kutoa ushirikiano juu yard kuteswa kwake Leo anaenda kumueleza makamu wa rais hali yake,
Hivi dry Bilal ndie daktari wa

mkuu ni dk wa wanyama
 
Mhhhhhhhhhhhhhhh mzee wa utepe naye mi simwamini amini maana pozi yake kama.....................
 
Muhimu hapa ni kujua Serikali ilitoa shilingi ngapi kumsaidia Kibanda akiwa kwenye matibabu kwa miezi mitatu.

Kwani yule jamaa waliye mmwagia tindikali kule Igunga si walimlipia gharama za matibabu na sasa wamemfanya ndio mtaji wa MAGMBA kuombea kura!!
 
Muhimu hapa ni kujua Serikali ilitoa shilingi ngapi kumsaidia Kibanda akiwa kwenye matibabu kwa miezi mitatu.

Hilo sio muhimu sana bwana Manyerere,muhimu ni kwa serikali kutueleza nani wahusika na kadhia hii? Bado tunataka kujua kuhusu Ulimboka pamoja na kutaja anaowafahamu serikali bado haijachukua hatua yeyote.
Kibanda ni kama waTZ wengine ambao wanashambuliwa mitaani au na vyombo vya dola na kuumizwa na kupata vilema na tunawatibu sisi wenyewe bila msaada wa serikali hivyo kwa faidaya wote muhimu ni kujua wahusika na hatua zilizo chukuliwa.
 
Muhimu hapa ni kujua Serikali ilitoa shilingi ngapi kumsaidia Kibanda akiwa kwenye matibabu kwa miezi mitatu.

hivi wewe ni Manyerere ninayemjua au siye? siamini kama unaweza kuandika huu utumbo!

pesa ni nini? watu wanataka kujua watesaji na hatua za kuchukua ili yasitokee tena,siyo kutibiwa na serikali.
wakianzisha operation ya kuwang'oa kucha na macho kisha wanawatibisha bure utakubaliana nao?
punguza tamaa ya pesa kamanda!
 
Lengo ni kumziba mdomo Kibanda asiongelee tukio la kuteswa kwake kwani linaichafua na kuiweka pabaya serikali.
 
hivi wewe ni Manyerere ninayemjua au siye? siamini kama unaweza kuandika huu utumbo!

pesa ni nini? watu wanataka kujua watesaji na hatua za kuchukua ili yasitokee tena,siyo kutibiwa na serikali.
wakianzisha operation ya kuwang'oa kucha na macho kisha wanawatibisha bure utakubaliana nao?
punguza tamaa ya pesa kamanda!
mkuu umeandika vizuri sana
 
Mkuu hilo nalo neno

Ukisoma ile makala yake kwenye gazeti la mawio la wiki ya jana kaweka wazi kabisa waliomteka na kumtesa ni maaskali kwani aliwasikia wakiambizana na kuita Afande huyu hapa mpige risasi. Sasa habari kama hizo si nzuri kwa serikali kwani imekuwa ikituhumiwa na wadau wa habari, wanaharakati na wananchi kuwa inahusika na matukio yanayowakuta wanahabari . Hivyo dhamira ya mkutano huo moja kwa moja ni kumtaka rai kibanda asiliongelee suala hilo na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom