Makamu wa rais afiwa na mama yake mzazi

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2006
Messages
4,156
Points
1,250

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2006
4,156 1,250
habari zilizotufikia ni kuwa makamo wa rais wa tanzania au wengine humtania mzee wa kutembea na mkasi amefiliwa na mama yake mzazi.

innalillahi wa inna ilayhi rajiiun

mola amlaze mahala pema peponi na awape moyo wa subira wafiwa
 

Kizito

Member
Joined
Feb 23, 2008
Messages
70
Points
0

Kizito

Member
Joined Feb 23, 2008
70 0
Pole mkubwa kwa kufiwa, jipe moyo kifo ni sehemu ya maisha Mungu mwenye wingi wa Huruma awape hekima kwenye hiki kipindi kigumu cha majonzi ya kuondokewa na mama yetu.

Nahivi ulivyomkimya hata ukifiwa hatujui pole Brother.
 

a.9784

Senior Member
Joined
Feb 19, 2008
Messages
146
Points
0

a.9784

Senior Member
Joined Feb 19, 2008
146 0
Ndg yetu mpendwa pole sana kwa kumpoteza mama mzazi lakini ni mipango ya mwenyezi Mungu kwani marehemu ametimiza safari yake ya hapa duniani.Japo sisi tuko huku Butiama lakini kifikra tuko pamoja.

MUNGU AILAZE PEMA PEPONI ROHO YA MAREHAMU-AMINA
 

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Messages
8,570
Points
0

Game Theory

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2006
8,570 0
inna lilahi wa inna ilahi rajuun

katika wanasiasa wetu tunaowapenda ni huyu na wote humu tuko pamoja naye kwenye kipindi hiki cha majonzi kwake

Tunamuomba Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu
 

Engineer Mohamed

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2007
Messages
461
Points
0

Engineer Mohamed

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2007
461 0
pole sana mheshimiwa makamu wa rai wa jamhuri ya muungano wa tanzania kwa kufiwa na mama mzazi.

mungu amlaze mahali pema.

kumbuka kuwa:kuna hadithi ya mtume wetu muhammad (salllahu aleyhi wa'sallam) inasema hivi "muuislam/muumin yoyote anapofiliwa na MAMA YAKE MZAZI,basi ALLAH (subhanauu wa'tallah)humwambia muumini/muslam huyo kuwa SASA NI WAKATI WAKO WA KUFANYA AMALI ZAKO MWENYEWE,kwani allah anasema hakika wakati wa enzi za uhai wa mama yako tulikuwa tunakufadhilisha au tunakupa neemmah kutokana na kuwa hai mzazi wako,so kwa vile ameshafariki hivi sasa mhusika anatakiwa ajikaze kufanya amali njema kwa ajili ya nafsi yake mwenyewe."

GT na MTU wa pwani hebu nirekebisheni kama nimekosea hiyo hadithi.
 

Nyerererist

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2007
Messages
443
Points
170

Nyerererist

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2007
443 170
Mzee Sheni wewe ni kipenzi cha watanzania...hivyo kwa niaba a familia yangu nakupa pole na kukuhakikishia kwamba tuko pamoja ktk maombi na wakati huu mgumu kwako.....naomba ukipata muda sikiliza wimbo wa 2Pac wa ""Dear Mama"".....Mama's Gheto Anthem..
 

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
7,612
Points
1,250

Mwiba

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
7,612 1,250

Tuko pamoja nawe mzee katika harakati za kila aina.Mwenyezi mungu amekupa afya na uwezo wa kwenda kumzika mama yako ni faraja kubwa sana na pia ni majaaliwa.Hii miradi unayofungua utapata jaza na fadhila ,hapo ni kijijini Geza Ulole makazi mepya.
 

Forum statistics

Threads 1,381,300
Members 526,033
Posts 33,794,747
Top