Makamu wa Rais Afghanistan awagomea Taliban, asema yeye ndiye Rais halali

Siyo ngada za kawaida, huwa wanalima zao flan linaitwa poppy, hutumika kutengeneza cocaine ya grade A. Vita vingine vya huko ni kugombea mashamba ya poppy.
Opium poppy inatengeneza heroin sio cocaine........cocaine ni huko south america kwenye mjani wa coca
 
Back
Top Bottom