Makamu wa pili kuwa ndiyo mpokeaji wa rambi rambi wapi makamu wa kwanza?

sizy

Member
Jun 14, 2010
29
4
Natoa pole sana kwa watanzania kwa msiba mkubwa wa ajali ya meli, ila katika hili naomba wadau mnijuze hivi huyu makamu wa kwanza kazi zake ni zipi maana namwona mara nyingi makamu wa pili ndio anayehusika na masuala yote ya kupokea ugeni wa rambi rambi, au jamaa ni box tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom