Makamu wa kwanza Zanzibar amekiuka kumpongeza mshindi wa urais Zambia. Zanzibar sio dola huru mbele ya uso wa kimataifa

kwahiyo makamo Mpango nae ruhksa kutumia Salam za pongezi na headed paper ya magogoni?? Naomba unijibu P

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Yes baada ya rais kumpongeza rais mpya, VP pia yuko free kumpongeza rais mpya, PM pia yuko free kupongeza, hakuna tatizo lolote. Hata wewe kwa kutumia headed paper yako uko huru kupongeza.
P
 
Tozo ya miamala iliyopitishwa na Bunge la JMT inahusu tu wadanganyika,Zanzibar hizo tozo haziwahusu!
Sasa hapo utasema hili ni taifa moja?
 
Tozo ya miamala iliyopitishwa na Bunge la JMT inahusu tu wadanganyika,Zanzibar hizo tozo haziwahusu!
Sasa hapo utasema hili ni taifa moja?
Hueleweki mfano una laini ya Mpesa au Tigo pesa Ukiwa Zanzibar tozo haitakuhusu ukituma au kupokea pesa?
 
Serikali tatu ndiyo suluhisho ya hayo yote, naunga mkono katiba mpya
Alichovurunda hapo hata hiyo tu ya serikali moja tu ya Zanzibar imemshinda!!! Hizo salamu alitakiwa atoe Raisi Zanzibar sio yeye !!! La serikali moja tu ya Zanzibar anashindwa zikija serikali tatu sii ndio atachanganyikiwa kabisa

Huwa analilia serikali tatu hiyo moja tu tayari inamshinda hajui hata protocol tu za hiyo iliyopo moja!
 
mtu yoyote yuko huru kutuma Salaam za pongezi popote kwa kutumia headed paper yake!.
P
Na amesema mwanzoni kabisa wa barua yake..." Personally..." sasa sijui hiyo ya zanzibar kama nchi inaingiaje hapo ili ahali amesema hilo neno personal, yaani kwa niaba yake binafsi. Hakuanza na .... kwa niaba ya--- on behalf of ... ya serikali ya ... interpletation humu JF wakati mwingine ni changamoto...
 
Kwa mujibu wa mkataba wa kimataifa wa Montevideo ili dola liwe huru lazima liwe na uwezo wa kuingia mikataba ya kimataifa.

Kwenye katiba ya JMT, mambonya ni sio suala la muungano hivyo Zanzibar haipaswi kushiriki masuala ya nje bila kuihusisha wizara ya mambo ya nje ya muungano.

Kitendo cha makamu wa rais wa Zanzibar kutumia ofisi ya serikali ya mapinduzi Zanzibar kutuma salamu ni kuvunja Katiba. Maana Act walando ni sehemu ya serikali ya Smz ambayo ipo chini ya JMT.

Tukumbuke kuwa Zanzibar hakuna dola bali kuna serikali ya mapinduzi Zanzibar.

Zanzibar ni koloni la Tanganyika.
 
Utatuzi wa mkanganyiko huu ni KATIBA MPYA - Serikali tatu.
 
Personally kama makamu wa kwanza wa Smz. Sio kama Osman Masoud. Kama ni ishu zake binafsi headed paper ya Smz ya nini? Wewe ndio hujui.
Na amesema mwanzoni kabisa wa barua yake..." Personally..." sasa sijui hiyo ya zanzibar kama nchi inaingiaje hapo ili ahali amesema hilo neno personal, yaani kwa niaba yake binafsi. Hakuanza na .... kwa niaba ya--- on behalf of ... ya serikali ya ... interpletation humu JF wakati mwingine ni changamoto...
 
Personally kama makamu wa kwanza wa Smz. Sio kama Osman Masoud. Kama ni ishu zake binafsi headed paper ya Smz ya nini? Wewe ndio hujui.
Huyo Makamu wa Raisi kasoma Sana sheria lakini ana IQ ndogo mno .Taabu yake sio elimu Ni IQ

Kuna wasomi wengi Elimu unakuta anayo lakini IQ ndogo hajui hata headed paper Ni kitu gani lakini akikubadhi lundo la vyeti vyake vya kusoma gunia linajaa!!!

Kuna interview ya mkuu wa fedha kwenye taasisi iliitishwa watu wakaenda na mivyeti vyao gunia .kuingia swali wakaulizwa noti ya shilingi elfu 10 Ina picha ya mnyama gani .Hawakupata.Mtu unashughulika na pesa halafu hujui pesa!!! Makamu wa Raisi hajui headed paper Tena mwanasheria!!!!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom