TANZIA Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

Wanasiasa ni wanafiki sana, lakini bahati mbaya zaidi hata vyombo vya habari vimejaa unafiki.
Mzee huyu walimfinyia kila aina ya Fitna ili asitimize adhma yake, lakini baada ya kufa kwake wanatoka mafichoni kumwagia sifa!!
Maaalim ni mtu safi sanaa
Itoshe kwa leo kuamini siasa ni mchezo mchafu

Mpaka mzee Atik ana kwambia kama siasa za Znz ndio siasa za Kenya bbac Maalim angekuwa mwana siasa Tajir haswaaa

Mzee Atik anasema pasipo shaka Marehemu amefariki bila Mali kama ilivyo wanasiasa wa sasa ambao wengi wao wapo vizuri financially
 
Oh! Rest in Peace Mzee Seif! Umepigania sana ulichokiamini! Mola awe nawe! Nimefurahi kuwa utazikwa vizuri sasa! Awamu hii iliyokuwa na ubaguzi wake usingezikwa vizuri kama ungekuwa ACT tu! Mungu ni mkubwa!
 
Mungu afungue macho ya watawala/viongozi wa juu watenda mabaya! Wajue kuwa kuna kifo na wataacha duniani yote wanayovuna kwa uovu!! RIP Seif!
 
Bora alijiunga na serekali ya umoja wa kitaifa atazikwa kwa heshima zote za chama na serekali.
Sio mbaya lakini kwa sasa havimsaidii hivyo vitu hata kama hakuzikwa amali zake ndio ngao yake huko aliko mbele yake nyuma yetu,Allah amuepushe na adhabu ya kaburi na moto. Innalilah wainnarajiu'u
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom