#COVID19 Makamu Rais wa Marekani, Kamala akutwa na maambukizi ya Uviko-19 licha ya kuchanja mara mbili

Makamu Rais wa Marekani, Kamala Harris amepimwa na kukutwa na maambukizi ya Ugonjwa wa Uviko-19.

Taarifa ya Ikulu imeeleza kuwa licha ya kuwa na maambukizi lakini Kamala hajaonesha dalili zozote za kuumwa, pia hajakutana na Rais Joe Biden, hivi karibuni kutokana na ratiba zao za safari kutofautiana.

Kamala ambaye alishapata chanjo ya Uviko-19 mara mbili pamoja na kupata nyongeza ya dozi mara mbili ataendelea kujitenga kwa kufanya kazi akiwa ofisini kwake hadi atakapopimwa na kuonekana hana maambukizi ndipo atarejea katika shughuli zake kama kawaida.

Source: Livemint

€€€€€€€€€€€€€€€€€€

US Vice President Kamala Harris tests positive for Covid

US Vice President Kamala Harris has tested positive for Covid, according to a White House statement on Tuesday.

Harris is reportedly not exhibiting any symptoms and President Biden is not a close contact.

According to the press statement, Kamala Harris has exhibited no symptoms, will isolate and continue to work from the Vice President's residence.

"She has not been a close contact to the President or First Lady due to their respective recent travel schedules," the statement noted.

Harris will follow CDC guidelines and the advice of physicians and will return to the White House when she tests negative.

Harris, 57, received her first dose of the Moderna Covid-19 vaccine weeks before taking office and a second dose just days after Inauguration Day in 2021. She received a booster shot in late October and an additional booster on April 1.

Fully vaccinated and boosted people have a high degree of protection against serious illness and death from Covid-19, particularly from the most common and highly transmissible omicron variant.

Harris’ diagnosis comes a month after her husband, Doug Emhoff, recovered from the virus, as a wave of cases of the highly transmissible omicron subvariant has spread through Washington’s political class, infecting Cabinet members, White House staffers and lawmakers including House Speaker Nancy Pelosi.

After more than two years and nearly a million deaths in the US, the virus is still killing more than 300 people a day in the US, according to the CDC. The unvaccinated are at a far greater risk, more than three times as likely to test positive and 20 times as likely to die from the virus than those who have received at least a primary dose of the vaccines, according to the public health agency.

Samia Suluhu naye akitoka USA apimwe Uviko-19​

 
Kamala Harris makamu wa rais wa marekani ana chanjo mbili na booster mbili za corona lakini corona haikuogopa vyote hivyo ikampitia fasta! Sasa nini faida ya kuchanjwa kama haikukingi na maambukizi?
 
Kamala Harris makamu wa rais wa marekani ana chanjo mbili na booster mbili za corona lakini corona haikuogopa vyote hivyo ikampitia fasta! Sasa nini faida ya kuchanjwa kama haikukingi na maambukizi?
Sasa hivi kuna gonjwa lingine wanalipromoti la homa ya ini linawakumbuka watoto kati ya mwaka 1 mpaka 16 na kuharibu maini.
Limeikumba ulaya na marekani
 
Hangaya hawezi kutangazwa kuwa ana Corona hata kama anayo maana alizindua chanjo hapa TZ akachanjwa hadharani sasa Corona kaipataje?
 
Mama yangu mzazi katokea wapi tena??? Mpaka kuandika nilidhani Tarzan na mtu wa kusadikika katika filamu.

Inawezekana ikawa sina akili kweli kama usemavyo ila mara nyingi watu hurithi vitu toka kwa wazazi wao na kuna uwezekano mkubwa nikawa baba yako (muulize mama yake vizuri) hivyo kupeleakea kurithi kwako kutokuwa na akili kwangu kiaisi cha kudandia treni kwa mbele kwa vitu vya kusadikika.
Acha kurukaruka kama ngisi aliyetolewa mtoni na ujibu swali.
Maneno hayo unaweza kumwambia mama yako mzazi? au mama yako mzazi angekuwa rais ungekubali akashfiwe kama hivi?

Narudia tena huna akili.
 
Acha kurukaruka kama ngisi aliyetolewa mtoni na ujibu swali.
Maneno hayo unaweza kumwambia mama yako mzazi? au mama yako mzazi angekuwa rais ungekubali akashfiwe kama hivi?

Narudia tena huna akili.
we ni mpumbavu kabisa. Raisi wako katajwa wapi?
 
Back
Top Bottom