Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake CUF taifa, Kiza Mayeye afanya ziara Kigoma vijijini ya kutangaza nia ya kugombea Ubunge

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
Screenshot_20200714-093720.png
#HABARI MAKAMO MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WANAWAKE CUF TAIFA (JUKE) MHE. KIZA MAYEYE AFANYA ZIARA KIGOMA VIJIJINI YA KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIGOMA VIJIJINI

Makamo mwenyekiti wa jumuiya ya wanawake CUF Taifa (JUKE) mhe. Kiza Mayeye Afanya ziara Kigoma Vijijini Ya Kutangaza Nia ya Kugombea Ubunge Jimbo Hilo la Kigoma Vijijini Pia mhe. Kiza ameongoza ziara hiyo katika kila kata kila Kijijini na Kufanya Shughuli mbalimbali za Ujenzi wa Chama ikiwepo kufanya vikao vya ndani na Viongozi wa Kata na kufanya ufunguzi wa Matawi .

Pia Ziara hiyo inaendelea Leo katika kata ya mwamgongo kijiji cha bugamba Jimbo la kigoma vijijini atafungua matawi na Kufanya vikao vya ndani na Viongozi wa kata hiyo ya mwamgongo.

#KizaMayeyeMjengoniTena.
 
Back
Top Bottom