Makamu mwenyekiti wa CCM (Bara) akutana na ujumbe kutoka China

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip Mangula, akizungumza na Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Taluma za Jamii na Naibu Mkurugenzi wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii katika Wizara ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, aliyeongoza ujumbe wa watu sita kutoka nchini humo, kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba., Dar es Salaam,. Kushoto ni Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC) ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Asha Rose Migiro pamoja na maofisa wengine wa Chama.

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula, akizungumza na Mchambuzi
wa masuala ya Siasa na Taluma za Jamii na Naibu Mkurugenzi waKamati ya Maendeleo ya Jamii katika Wizara ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, aliyeongoza ujumbe wa watu sita kutoka nchini humo, kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba., Dar es Salaam,. Kushoto ni Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC) ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.

Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Taluma za Jamii na Naibu Mkurugenzi wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii katika Wizara ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, aliyeongoza ujumbe wa watu sita kutoka nchini humo, akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) kwenyemkutano uliofanyika katika ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba., Dar es Salaam,. Kulia ni Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM(NEC) ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro pamoja na maofisa wengine wa Chama,.

Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Taluma za Jamii na Naibu Mkurugenzi wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii katika Wizara ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, akimkabidhi zawadi Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip Mangula mara baada ya kumaliza mazungumzo yenye nia ya kuimarisha uhusiano kati ya Serikali ya Watu wa Jamhuri ya China na Tanzania.

Mchambuzi
wa masuala ya Siasa na Taluma za Jamii na Naibu Mkurugenzi wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii katika Wizara ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, akimkabidhi zawadi Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC) ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro mara baada ya kumaliza mazungumzo yenye nia ya kuimarisha uhusiano kati ya Serikali ya Watu wa Jamhuri ya China na Tanzania.

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip Mangula, akiwa kwenye picha ya pamoja nje ya Makao Makuu ya CCM, Ofisi Ndogo Lumumba na Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Taluma za Jamii na Naibu Mkurugenzi wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii katika Wizara ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, na Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC) ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Asha Rose Migiro pamoja na wajumbe wengine kutoka China.

Hivi P. Mangura hajui kujipanga vizuri kupiga picha za mnato, huyu ana mambo ya kizee sana jamani.
 
Hivi P. Mangura hajui kujipanga vizuri kupiga picha za mnato, huyu ana mambo ya kizee sana jamani.
Umeiona hiyo ofisi Ndogo ya CCM ? unaweza linganisha na pale kinondoni makao makuu ya CHADEMA walipopanga?
OFISI ipi ina hadhi sema mwenyewe kati ya ya CHADEMA na ya CCM?.Kule uchochoroni makao makuu ya CHADEMA waweza peleka wageni maarufu kama hao Wachina? thubutu.Lowasa mwenyewe kapagwaya kajiwekea kiofisi chake koko mbali kabisa, anaogopa vibaka na wapiga kabali wa kinondoni.Wale wakikolea viroba hawajali huyu ni Lowasa au Mbowe ni kabali tu.

Yaani watu wa CHADEMA mnajua kupiga picha za kunata huku mmelamba masuti ya ulaya wakati pa kulala chama Chenu cha CHADEMA hamna mnapanga uchochoroni kwa vibaka
 
Hivi katibu mkuu mzee wa ndovu kapotelea wapi maana toka uchaguzi umepita simsikii kabisa....

By the way naskia jamaa kawapigia KUFULI la uhakika wachina na wazungu hadi atakapomaliza safisha safisha. Huu ujumbe naona umekuja baada ya wachina wengi kupigwa pingu Kariakoo
 
Umeiona hiyo ofisi Ndogo ya CCM ? unaweza linganisha na pale kinondoni makao makuu ya CHADEMA walipopanga?
OFISI ipi ina hadhi sema mwenyewe kati ya ya CHADEMA na ya CCM?.Kule uchochoroni makao makuu ya CHADEMA waweza peleka wageni maarufu kama hao Wachina? thubutu.Lowasa mwenyewe kapagwaya kajiwekea kiofisi chake koko mbali kabisa, anaogopa vibaka na wapiga kabali wa kinondoni.Wale wakikolea viroba hawajali huyu ni Lowasa au Mbowe ni kabali tu.

Yaani watu wa CHADEMA mnajua kupiga picha za kunata huku mmelamba masuti ya ulaya wakati pa kulala chama Chenu cha CHADEMA hamna mnapanga uchochoroni kwa vibaka
Ofisi ya wizi hii.. ilijengwa kwa fedha.za wanachadema miaka.hiyo
 
Back
Top Bottom