MAKAMU MWENYEKITI SHIVYAWATA TAIFA AKABIDHI BAJAJ ZA WALEMAVU
Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama Vya watu wenye ulemavu nchini SHIVYAWATA ambaye ni UMMY NDERINANGA amekabidhi bajaji kwa ajili ya watu wenye ulemavu. Hii itakuwa ni fursa kwao kiuchumi na kuondokana na umaskin pamoja na kuwa omba omba.
Katika hatua hiyo amewaomba walemavu kutokubweteka bali kutumia uwezo wao kujikwamua kiuchumi na hatimaye kuondokana na umaskini
"SHIVYAWATA ipo bega kwa beg kuwasaidia walemavu wote kujikwamua kiuchumi. Tumeanza na hawa wachache lakini inshaallah tutawekeza zaidi ili miradi iwafikie wengi zaidi."Alisema
SHIVYAWATA imekuwa mstari wa mbele kuwasaidia walemavu haswa kwenye awam ya tano.